Wanawake 30 wapima kansa Sabasaba
NA WILLIAM SHECHAMBO
WANAWAKE 30 wamejitokeza kupima afya zao ikiwemo saratani za kizazi na matiti kwenye banda la Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, katika Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam.
Mmoja wa madaktari wa taasisi hiyo, Dk. Rehema Ngomola, alisema kati ya kinamama hao, mmoja ndiye aliyekutwa na viashiria vya saratani ya kizazi.
Alisema kutokana na takwimu hizo, idadi ya kinamama wenye maradhi ya ya saratani ya matiti na kizazi, inapungua hivyo kuwataka kujitokeza...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo08 Jul
560 wapima VVU Sabasaba
WANANCHI zaidi ya 560 wanaotembelea maonesho 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, wamejitokeza kupima virusi vya Ukimwi katika banda la Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS).
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
11 years ago
GPLMABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi19 Apr
MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
10 years ago
Habarileo07 Dec
Wanawake 1,000 wapima saratani ya matiti
WANAWAKE zaidi ya 1,000, wamejitokeza kupimwa saratani ya matiti bure katika miezi minne ya kampeni inayoendeshwa na Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam.