Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wanawake CCM msiwachague viongozi watoa rushwa’

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Hassan Mtenga amewataka wafuasi wa Umoja wa Wanawake wa chama hicho mkoani hapa kutowachagua viongozi wapenda rushwa kwa kuwa ni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Makamba: CCM isipitishe watoa rushwa kugombea urais 2015

Moja kati ya vitu vinavyotajwa kurudusha nyuma maendeleo ya Tanzania ni kushamiri kwa rushwa katika sekta mbalimbali.

 

11 years ago

Dewji Blog

CCM kuanza kuwatimua viongozi wavivu, wasio na kazi na wala rushwa

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kua CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akihutubia kaaikia wananchi kuhusu tika mkutano wa hadhara Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo aliwananga wapinzania kwamba wanahangaika na maandamano...

 

11 years ago

GPL

CCM KUANZA KUWATIMUA VIONGOZI WAVIVU,WASIO NA KAZI NA WALA RUSHWA‏

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mlandizi, Kibaha Vijijini, ambapo alisema kuwa CCM itaanza kuwafukuza viongozi wabovu na wala rushwa. Kinana yupo mkoani Pwani kuimarisha uhai wa chama, kuhimiza, na kusukuma utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Katibu wa Itikadi…

 

5 years ago

BBCSwahili

Siku ya wanawake duniani 2020: Wanawake watoa wito wa usawa

Maandamano ya kuhamasisha suala la ubaguzi dhidi ya wanawake yamefanyika katika miji tofauti duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Makandarasi watoa rushwa waonywa

SERIKALI imewaonya baadhi ya makandarasi nchini wenye tabia ya kuwahonga watumishi wa serikali, ili waweze kupata zabuni za ujenzi wa miradi mbalimbali. Onyo hilo lilitolewa jijini Dar es Salam mwishoni...

 

10 years ago

Mwananchi

Takukuru kulipua watoa rushwa baada ya uchaguzi

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru) imesema itashughulikia kesi za viongozi waliojihusisha na rushwa wakati wa kura za maoni ndani vyama baada ya kukamilika kwa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25.

 

10 years ago

Habarileo

Watoa haki washauriwa kukabili rushwa ya ngono

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Othman Chande JAJI Mkuu wa Tanzania, Mohammed Othman Chande amewataka majaji, mahakimu na wasaidizi wa sheria, kufuata maadili ya kazi hiyo, pamoja na kuongoza mapambano dhidi ya rushwa hasa ya ngono ambayo inaonekana kukithiri.

 

5 years ago

Michuzi

MAKAMU WA PILI WA RAIS BALOZI SEIF ALI IDD AONYA WATOA RUSHWA

Na Mwandishi wetu Shinyanga
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Barozi Seif Ali Idd amewaonya baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi wanaotaka kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kupitia chama hicho kujiepusha na matumizi ya fedha katika kutafuta nafasi za uongozi kwani kufanya hivyo ni kukiuka katiba ya Chama hicho.
Aidha Barozi Seif Ali Idd ameonya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ya kugombea uongozi lakini badala ya kwenda wenyewe wanatuma watu wengine kutoa rushwa kwa niaba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwenyekiti wa UVCCM Singida, asema watoa rushwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, wasichaguliwe

mkt

Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida, Martin Lissu akizungumza kwenye mkutano mkuu wa Uchaguzi wa UVCCM Wilaya ya Singida Mjini juzi, Lissu alikemea vitendo vya rushwa ndani ya CCM.

lissu

Martin Lissu Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Singida.

katibu

Katibu wa UVCCM, Wilaya ya Singida Mjini, Pamfil James akisoma taarifa ya chama kwa wajumbe wa mkutano mkuu huo.

wagombea

Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Singida wakiwa wanasubiri matokeo ya uchaguzi huo.

wajumbe

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani