Wanawake hupata wakati mgumu jeshini kuliko wanaume?
Moja ya maeneo ambayo katika siku za karibuni yamekuwa yakitoa ajira nyingi nchini na mataifa mengine ulimwenguni ni majeshi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi03 Oct
UTAFITI : Ebola inaenea haraka zaidi kwa wanawake kuliko wanaume
Ingawa binadamu wote ni sawa, lakini ni jambo la kushangaza kuona kuwa wakati wa mlipuko wa ugonjwa fulani, jinsi moja inaathirika zaidi kuliko nyingine.
10 years ago
Mwananchi21 Aug
Repoa: Wananchi hupata taarifa za Ukimwi zaidi kuliko rushwa
Ripoti mpya ya utafiti iliyotolewa hivi karibuni inaeleza kuwa wananchi wanapata zaidi taarifa za ugonjwa wa Ukimwi kuliko taarifa za matumizi ya fedha za Serikali na namna ya kupambana na rushwa nchini.
9 years ago
Bongo508 Oct
Utafiti: Karibu nusu ya wanawake hupata huzuni kali baada ya tendo la ndoa
Tendo la ndoa zuri linatarajiwa kukuacha ukiwa na furaha. Lakini karibu nusu ya wanawake hujikuta wakiwa na huzuni kali baada ya kufanya mapenzi, utafiti umesema. Hupata tatizo ambalo kitaalam linaitwa “post-sex blues” – linalotawaliwa na hali ya kutokwa machozi, huzuni kali, sonona (depression), kukerwa na hasira kwa takriban saa nne baada ya kufanya mapenzi. Watafiti […]
10 years ago
Mwananchi09 Aug
Mkwasa apata wakati mgumu
Klabu ya soka Yanga imewazuia nyota wake kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars na badala yake wachezaji wote wa kikosi hicho waliondoka jana kwenda Tukuyu Mbeya kuweka kambi.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s72-c/07dcmbege.jpg)
Story ya wanawake wa Rombo kukodi wanaume Kenya kuwaridhisha kimapenzi yatinga bungeni, wanaume wataka waombwe radhi
![](http://4.bp.blogspot.com/-gl49bYfuLRU/VV4Ef12encI/AAAAAAAAuI4/VXWFgPJinb8/s640/07dcmbege.jpg)
Habari iliyoandikwa kwenye gazeti la Mwananchi juzi yenye kichwa cha habari ‘Wanawake wa Rombo wakodi wanaume kutoka Kenya’ imeibukia bungeni leo.Habari hiyo iliandikwa kutokana na kauli aliyoitoa mkuu wa wilaya ya Rombo, Lembris Kipuyo, aliyedai kuwa kutokana na wanaume wa wilaya hiyo kuwa walevi wa kutupa, wake zao wamekuwa wakikodi wanaume kutoka Kenya ili kuwaridhisha kimapenzi.
“Tatizo la ulevi wilayani Rombo na matumizi ya pombe zisizokuwa na viwango ni kubwa sana na linahitaji nguvu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGYDwrEb2WgGA6g0sh8VCRUKvhRe1u2Y0Yl0qCUbBVscKmunpmHzMmVb86YJSIkZOghkrM7srXVq*zCnThATwCB/jb.jpg)
RIYAMA, ROSE WAMPA WAKATI MGUMU JB
Stori: Mayasa Mariwata
OHOOOO! Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wamemkomalia msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara kitendo ambacho kilimshinda msanii huyo mwenye ‘weight’ ya kutosha. Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wakimtaka msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara. Tukio hilo lilijiri mwishoni wa wiki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf1N4FZXF9X4gzM1WU9EzJcnhj6IzPVvcMaiZ7-PUNIqbOE*gnfitsWtRVkvtDhGc*sPHQ*4uz*JHZCaoQitdfbZ/shamsa.jpg?width=650)
MILA ZAMPA WAKATI MGUMU SHAMSA
Na Brighton Masalu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson mwenye asili ya Musoma Vijijini, mkoani Mara. Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania