Wanawake tutambue majukumu tupunguze watoto wa mitaani
MWEZI uliopita Tanzania iliungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka. Tunafahamu kwamba mwanamke ni nguzo ya familia hivyo ana jukumu la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBUNGE LA WATOTO OYSTERBAY SHULE YA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
Abdallah Waziri - ambaye ni mmoja wa watoto wa mitaani aliyerudishwa shule kwenye kikao cha leo.
Abdallah Waziri, Asia Mtibua na Mwalimu Gaudensia Igoshalimo wakimkaribisha Abdallah Waziri shuleni.
Mmoja wa wajumbe akitoa maoni yake katika kikao cha bunge katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani akifuatilia hoja kwa makini.wakati kikao cha bunge la watoto likiendelea katika shule ya oysterbay mkoani manyara
Mbunge Nasri Selemani ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa...
10 years ago
MichuziBUNGE LA WATOTO WA SHULE ZA MSINGI MKOANI MANYARA WAFANIKIWA KUWARUDISHA WATOTO WA MITAANI SHULE
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Tusiwanyanyapae watoto wa mitaani
HIVI sasa kuna wimbi la watoto wa mitaani katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam ambao hawana uangalizi kama walivyo watoto wengine. Ni fursa sasa kwa jamii kujiuliza...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Watoto wa mitaani wanavyobakwa Sumbawanga
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Watoto wa mitaani watinga fainali Brazil
TIMU ya taifa ya watoto wa mitaani ya Tanzania, imetinga fainali za Kombe la Dunia la Watoto wa Mitaani baada ya kuichapa Marekani mabao 6-1 katika mchezo wa kwanza wa...
11 years ago
BBCSwahili17 Jul
HRW:'Watoto wa mitaani huteswa Uganda'
10 years ago
Habarileo09 Apr
Chanzo cha watoto mitaani chaelezwa
MOJA ya sababu kubwa ya kuwapo kwa watoto wa mitaani nchini ni wazazi na walezi kuacha kuwajibika na kuwatekelezea haki zao watoto.