WAREMBO KAENI MKAO WA KULA, USAHILI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA WAZINDULIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-Qr3Wam1Wl3w/XlfHCb3-NoI/AAAAAAALftY/Nhckn3cev6M77q74aJMxHzeYVgyG2UAEQCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200227-WA0046.jpg)
Mkurugenzi wa kampuni ya The look company limited Basilla Mwanukuzi,warembo pamoja na wadhamini wa shindano la Miss Tanzania kwa mwaka huu Grace product pamoja na Amina kwenye picha ya pamoja wakati wa kuzindua shindano hilo jijini Dar es salaam. Na Khadija seif, Michuzi TvWAREMBO watakiwa kuibeba dhima ya urembo ni heshima na kujua malengo na yao pindi wapewapo taji la Miss Tanzania ili kusaidia jamii inayowazunguka na Taifa kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wahabari Mkurugenzi wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies19 Dec
Kaeni Mkao wa Kula, Riyama na ‘Pacha’ wake Mwanaheri wapo Jikoni
Mastaa wakali wa Bongo Movies, Riyama Ally na mwanaheri kwasasa wapo lokesheni wakishuti kazi yao mpya . Mwanaheri ambaye ni msanii anayekuja kwenye tasnia kwa kasi ya ajabu amefanikiwa kuwateka mashabiki nakupeleikea wamtabilie makubwa kwenye tasnia hiyo kutokana na uwezo wake katika kuigiza.
Mbali na kufanana kimuonekano Mwanaheri amekuwa akifananishwa na Riyama hata kwenye uigizaji wake na kupelekea wawili hao kuitana pacha.
10 years ago
Bongo519 Sep
Usahili wa Miss Universe Tanzania 2014 unafanyika leo Dar es Salaam
10 years ago
Dewji Blog17 Sep
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DWDt5M_N8Rk/VBkYa1vudtI/AAAAAAACrEA/k2RGRtTdRhE/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MPIGIE KURA MISS TANZANIA 2013 KATIKA SHINDANO LA MISS WORLD 2014
![VOTE FOR MISS TANZANIA-MISS WORLD](http://bomalog.com/wp-content/uploads/2014/11/tz.jpg)
Voting will be open for the next 25 days, closing during the final show.Download the App Here –http://www.missworld.com/TheCompetition/TheMissWorldMobileApp/For more info on the vote Click here...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s72-c/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
WATANZANIA TUMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014â€â€Ž
![](http://3.bp.blogspot.com/-oGQwFS7GJLg/VHSS82lxz4I/AAAAAAAA9vs/FgNPBFyhSW4/s1600/MISS%2BTANZANIA%2B2014.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Nov
VIDEO: Watanzania tumpe support Miss Tanzania Happiness Watimanywa kwenye shindano la Miss World 2014â€â€Ž
Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014.
Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
“Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi...
10 years ago
MichuziWAREMBO MISS TANZANIA 2014 WAWASILI KAMBINI