Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kaeni Mkao wa Kula, Riyama na ‘Pacha’ wake Mwanaheri wapo Jikoni

Mastaa wakali wa Bongo Movies, Riyama Ally na mwanaheri  kwasasa wapo lokesheni wakishuti kazi yao mpya . Mwanaheri ambaye ni msanii anayekuja kwenye tasnia kwa kasi ya ajabu amefanikiwa kuwateka mashabiki nakupeleikea wamtabilie makubwa kwenye tasnia hiyo kutokana na uwezo wake katika kuigiza.

riyamaa

Mbali na kufanana kimuonekano Mwanaheri  amekuwa akifananishwa na Riyama hata kwenye uigizaji wake na kupelekea  wawili hao kuitana pacha.

 

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAREMBO KAENI MKAO WA KULA, USAHILI WA SHINDANO LA MISS TANZANIA WAZINDULIWA

Mkurugenzi wa kampuni ya The look company limited Basilla Mwanukuzi,warembo pamoja na wadhamini wa shindano la Miss Tanzania kwa mwaka huu Grace product pamoja na Amina kwenye picha ya pamoja wakati wa kuzindua shindano hilo jijini Dar es salaam.    Na Khadija seif, Michuzi TvWAREMBO watakiwa kuibeba dhima ya urembo ni heshima na kujua malengo na yao pindi wapewapo taji la  Miss Tanzania ili kusaidia jamii inayowazunguka na Taifa kwa ujumla.
Akizungumza na waandishi wahabari Mkurugenzi wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula

Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi  akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;

“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”

Tukae mkao wa kula,tuisubiri

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula

Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji  Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika  kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA

Benja na Yasin(kushoto) katika picha ya pamoja,

 

10 years ago

Raia Mwema

Kwa kuwa tuna mkao wa kula badala ya msimamo,mwisho mikono yote itamega matonge ya ugali wetu pamoja

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

Bongo Movies

Riyama Aonyesha Ujauzito Wake?!

Staa wa Bongo Movies, Riyama Ally ambaye ni mama wa mtoto mmoja , hivi juzi kati aliwaacha njia panda mashabiki wake mtandaoni baada ya kuweka picha hiyo akionyesha ujauzito na mpenzi wake akiwa ana ubusu.

Riyama alibandika picha hiyo kuandika “………?” kitu ambacho kiliwafanya mashabiki kupoteana kabisa, wapo ambao wadai kuwa mwanadada huyo yupo lokesheni anatengeneza muvi na wenngine kudai kuwa hiyo sio muvi bali ni kweli staa huyo kwasasa ni mjamzito.

Kwa siku za hivi karibuni staa huyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani