Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warioba:Escrow, matokeo ya Katiba isiyo na majibu

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema wizi wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, mvutano kati ya mihimili ya dola na viongozi kukosa maadili ni matokeo ya nchi kuwa na Katiba isiyo na majibu ya masuala hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Majibu ya Jaji Warioba Katiba Mpya


  Imezingatia asilimia 20 tu ya maudhui ya Tume  Masharti ya mgombea binafsi hayatekelezeki  Kura ya maoni kabla ya uchaguzi mkuu haiwezekani  Muundo wa Muungano umeiweka Zanzibar pabaya zaidi  Ni vigumu Rais wa Muungano kutoka Zanzibar  Madaraka ya Bunge kuisimamia Serikali yamemomonyolewa  Hakuna anakoenziwa Nyerere, maadili yametupwa
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amesema muundo wa Muungano uliopendekezwa kwenye Katiba pendekezwa ‘una utata...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Warioba aunguruma Mwanza, ataka majibu ya hoja zake

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba amesema licha ya kushambuliwa kwa mambo ya msingi anayozungumza kuhusu Katiba Mpya hakuna mtu aliyejitokeza kumjibu hoja zake, zaidi kumpiga vita.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba apigilia msumari escrow

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na kutoa maazimio manane kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Bunge limefanya makosa ya kutozijumuisha Wizara ya Fedha na ile ya Viwanda na Biashara katika uchunguzi huo kwa kuwa nazo zinahusika.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba, Zitto wajadili escrow

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba juzi alifanya mazungumzo ya saa mbili ya Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe kuhusu masuala ya uongozi na uwajibikaji baada ya mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini kumtembelea nyumbani kwake, Masaki, Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Warioba adhalilishwa mdahalo wa Katiba

Katika mazingira ya kutatanisha, siku ya Jumapili vurugu zimekatisha mdahalo uliokuwa ukiendelea kujadili mchakato wa katiba mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba alivyoonja shubiri ya Katiba

Wengi hawakutarajia kuwa mdahalo muhimu wa kuichambua Katiba inayopendelezwa ungevunjika takriban nusu saa tu baada ya kuanzishwa kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani