Was Magufuli CCM’s best kept secret?
Political analysts portray president-elect Dr John Magufuli as a compromise or accidental candidate, who was nominated in July by CCM to ward off a possible fall out as a result of intense competition among rival camps in the presidential nomination process.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
5 years ago
ZDNet04 Apr
12k+ Android apps contain master passwords, secret access keys, secret commands
12k+ Android apps contain master passwords, secret access keys, secret commands ZDNetReport: Apple App Store and Google Play revenues grow in Q1 - GSMArena.com news GSMArena.comLatest Google app beta replaces pre-Assistant voice search UI 9to5Google10 Games with BEST Graphics for Android and iOS (2020) PhoneArenaHow to scan barcodes or QR codes on an Android device using a third-party app Business InsiderView Full coverage on Google News
11 years ago
TheCitizen26 Feb
CCM’s secret bid to ‘revive Tanganyika’
>CCM has outlined seven reforms, including establishment of a Tanganyika Parliament, in a bid to push for its stance on the current Union structure.
5 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM...WANA CCM WAIMBA 'MAGUFULI BABA LAOO'
Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
RAIS Dk.John Magufuli amechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) leo Juni 17,mwaka 2020 katika Makao ya Chama hicho Jijini Dodoma.
Dk.Magufuli anachukua fomu hiyo kwa ajili ya kuomba tena ridhaa ya kugombea nafasi hiyo kwa tiketi ya CCM ikiwa ni awamu ya pili baada ya kumaliza awamu ya kwanza ya miaka mitano iliyoanzia mwaka 2015 mpaka mwaka 2020.Uchuguzi Mkuu mwaka huu unatarajia kufanyika...
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM OFISI NDOGO YA CCM MTAA WA LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Ofisi Ndogo ya chama hicho tawala mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Februari 28, 2020 Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wakitambulishwa na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais wa Jamhiri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya...
10 years ago
Mwananchi11 Jul
URAIS CCM: Magufuli alivyopiga chenga panga la CCM
Dar es Salaam. Kama alivyowashangaza wengi pale alipojitokeza kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais Mei 29 mwaka huu, ndivyo Dk John Magufuli alivyowashangaza tena jana kufikia hatua hii ya tano bora.
9 years ago
Vijimambo09 Sep
TSUNAMI YA CCM LEO MKOANI TANGA,WANANCHI WANAIMANI KUBWA NA CCM NA WANAAMINI MAGUFULI NI CHAGUO SAHIHI
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi katika picha tofauti akizungumza na wananchi wa Tanga Mjini hii leo kwenye Viwanja vya Tangamano wakati wa Mkutano wa kuomba kura za Urais,Ubunge na Udiwani kwaajili ya kuhakikisha CCM inashinda kwa kishindo mapema October 25.2015.Magufuli amewaahidi Wananchi wa Tanga kuwa atarejesha Viwanda na atahakikisha Tanga Unakuwa Mkoa wa Viwanda kama zamani.Mbali zaidi amesema amenuia kuhakikisha Taifa linabadilika kwenye Utendaji wakazi,Utoaji wa...
9 years ago
MichuziPONGEZI KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKA KWA WANACHAMA WA CCM,TAWI LA CCM CHINA
TAWI LA CCM CHINA TUNAKUPONGEZA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUCHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WA AWAMU YA TANO.TUNAKUTAKIA AFYA NJEMA NA MAFANIKIO KATIKA KIPINDI CHA UONGOZI WA JUU WA NCHI YETU.
5 years ago
MichuziMWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR DKT SHEIN JIJINI DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Chamwino mkoani Dodoma.
11 years ago
TheCitizen23 Mar
The secret to saving your money
Would you be interested if I told you there’s a secret to saving money? Well, it’s true. There are a few secrets that can be used to save money, even if it doesn’t feel like you have any money to save.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania