Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washereheshaji walia kumbi kuhodhi kila kitu

CHAMA cha Washereheshaji (SAA), kimesema changamoto kubwa inayowakabili katika shughuli zao ni kumbi nyingi na sehemu kadhaa zinapofanyika sherehe kuhodhi shughuli zote. Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa chama hicho...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TASWIRA,MWIGULU NCHEMBA ANAISHI HIVI NA WANANCHI WAKE KAMA KUMBI KUMBI

Comrade Mwigulu Nchemba akiwa amembeba Mtoto katika kijiji cha kaselya wakati alipotembelea kukagua Usambazaji wa Nguzo za Umeme na Waya Jimboni Iramba. Mh,Mwigulu Nchemba akiteta jambo na Mama huyu Mlemavu wa Ngozi ambaye Mwigulu amekuwa akimsaidia katika Maisha yake,Hapa Mama huyu amebarikiwa kupata mtoto hivyo anamuonesha Mbunge wake hapa Iramba,Comrade Mwigulu Nchemba akimsikiliza Mwananchi wake mwenye Ulemavu katika kijiji cha Ndulungu Jimboni Iramba.Mh.Mwigulu Nchemba akipokea...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ngeleja: Hatupingi kila kitu

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati namba tisa ya Bunge Maalum, William Ngeleja, amesema hawapingi kila kitu kilichomo kwenye Rasimu iliyotolewa na Tume ya Mabiliko ya Katiba. Ngeleja, amewataka watanzania wasikubali kupotoshwa...

 

11 years ago

GPL

FLORA AKOMBA KILA KITU

Stori: Waandishi Wetu MACHOZI upya! Habari halali kwa ubongo wako zinaeleza kwamba wakati mumewe, Emmanuel Mbasha (32) alipokuwa mahabusu, Dar kati ya Juni 15 hadi 17, mwaka huu, staa wa Gospo Bongo, Flora Mbasha (31) anadaiwa kwenda nyumbani na kukomba vitu vya ndani kuvipeleka kusikojulikana. Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na… ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Dude Alizwa Kila Kitu

YAMEMKUTA! Mwigizaji maarufu Bongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ amelizwa kila kitu kwenye gari lake baada ya wezi kuvunja kioo na kufanya uharibifu mkubwa kisha kutokomea na vitu hivyo.

Tukio hilo lililomchanganya Dude lilijiri nyumbani kwake, Kiwalani jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo jamaa hao waliruka fensi na kuvunja kioo cha nyuma kisha kutoa vitu muhimu kwenye gari hilo aina ya Toyota Mark II.

“Ukweli sasa hivi nikisikia kelele za mwizi hata niwe naendesha gari, nitapaki na kwenda kutoa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi walia na maafa ya kila mwaka

WANANCHI wa kitongoji cha Mwayunge mjini Igunga mkoani Tabora wameulalamikia uongozi wa wilaya hiyo kwa kushindwa kudhibiti maafa yanayotokea kila mwaka nyakati za masika. Wakizungumza na waandishi wa habari kwa...

 

11 years ago

GPL

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA! - 2

HAPA kwenye Love & Life ni mahali sahihi kabisa pa kupanuana mawazo kuhusu maisha na mapenzi. Ukiwa mdau wa ukurasa huu utaendelea kuimarisha uhusiano wako siku hadi siku. Napokea pongezi zenu wasomaji, mlizonitumia baada ya makala ya utangulizi wiki iliyopita. Ilikuwa ni mara ya kwanza kuandikia safu hii nikitokea Magazeti ya Risasi Mchanganyiko na Ijumaa. Naahidi kuboresha zaidi ili mpate kitu kizuri zaidi na uhusiano uwe wenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lissu: Wanaokubaliana kila kitu ni kondoo

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu, amesema katika mchakato wa kuandika Katiba ni lazima kuwa na mawazo yanayokinzana, kwa kuwa hiyo ndiyo demokrasia. Lissu ambaye pia ni Mbunge...

 

11 years ago

GPL

HAWEZI KUKUFANYIA KILA KITU, RIDHIKA!

NYAKATI za mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya kuvutia, visivyochosha. Ni rahisi kuwasikia wenzi wakilaumiana kwa kutokuamshana asubuhi! Yeah! Ni mambo ya mwanzo hayo. Ni ukweli ulio wazi kuwa, katika siku za mwanzo za wapenzi kukutana na kufahamiana, kila mmoja huwa makini kuhakikisha hamuudhi mwenzake. Kila kitu hufanyika kwa umakini huku akizingatia kuwa kuna...

 

10 years ago

Mwananchi

Kenya sasa kila kitu ni Obama

>Kenya iko katika maandalizi ya mwisho kufanikisha ziara ya Rais wa Marekani, Barack Obama anayetarajiwa kuwasili nchini humo mwishoni mwa mwezi huu. Maandalizi yamekuwa yakishuhudiwa katika maeneo mbalimbali ikiwamo kwenye mji mkuu, Nairobi ambako pia hali ya ulinzi imeimarishwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani