Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washia waandamana kupinga jeshi Nigeria

Waislamu wa dhehebu ya Shia kaskazini mwa Nigeria wameandamana kupinga operesheni wa kijeshi ambayo wanasema ilisababisha vifo vya mamia ya waumini.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WANAHARAKATI WAANDAMANA KUPINGA UTEKAJI WA WASICHANA NIGERIA‏

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji wa wasichana uliofanyika Nigeria. Mkurugenzi wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati....

 

11 years ago

Michuzi

Wanaharakati Waandamana jijini Dar es salaam Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji wa wasichana uliofanyika Nigeria. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji wa wasichana uliofanyika Nigeria.Mkurugenzi wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati.   Mkurugenzi wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati.Viongozi wakuu wa Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs) wakipokea mabango yenye jumbe anuai za kupinga vitendo vya kikatili vilivyofanywa  na wanamgambo wa Boko Haram. Viongozi wakuu wa Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs)...

 

9 years ago

Mwananchi

Wachimbaji waandamana kupinga unyanyasaji

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (WanaApolo) 500 wa Mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro, wameandamana kudai kupinga kitendo cha wawekezaji wa Kampuni ya TanzaniteOne kuteka migodi yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga kodi ya mtandao

Maandamano nchini Hungary yanaendelea dhidi ya mpango wa serikali wa kutaka kuwatoza kodi wanaotumia mtandao

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga mauaji Bangladesh

Mamia ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Bangladesh, Dhaka, kupinga mashambulio yaliyofanywa jana dhidi ya mchapishaji

 

9 years ago

Mwananchi

Waandamana kupinga kupunguzwa kazini

Wafanyakazi wa kampuni ya TanzaniteOne wameandamana kupinga uongozi wa kampuni hiyo kutaka kuwapunguza wafanyakazi 635 bila taratibu za kisheria, kwa madai kuwa wanajiendesha kwa hasara na wao kupoteza haki zao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waeritrea waandamana kupinga udhalimu

Raia wa Eritrea wameandamana nje ya majengo ya Umoja wa Afrika huko Ethiopia wakipinga mateso chini ya utawala wa rais Isaias Afeworki

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandamana kupinga sera,Ubelgiji

Polisi mjini Belgian nchini Ubelgiji wamelazimika kutumia mabomu ya machozi na maji ili kuwatawanya waandamanaji wanaopinga sera

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi waandamana kupinga uvamizi

ZAIDI ya wavuvi 30 wa Kisiwa cha Mazinga, Kata ya Mazinga wilayani Muleba, wameandamana hadi kituo cha polisi cha wilaya, kulalamikia kutokuwepo ulinzi katika Ziwa Victoria, kiasi cha kutoa mwanya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani