Wanaharakati Waandamana jijini Dar es salaam Kupinga Utekaji wa Wasichana Nigeria
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Bi. Lilian Liundi (aliyeshika kipaza sauti) akisoma barua maalumu iliyotumwa kwa ubalozi wa Nigeria nchini Tanzania kuonesha wanaharakati hao kupinga utekaji wa wasichana uliofanyika Nigeria.
Mkurugenzi wa WiLDAF, Dk. Judith Odunga, akizungumza kupinga ukatili uliofanywa kwa wanafunzi wa kike kutekwa na kitendo cha Jeshi la Polisi nchini Tanzania kuzuia maandamano hayo ya wanaharakati.
Viongozi wakuu wa Mtandao wa Mashirika Huru ya Kijamii (CSOs)...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/05/IMG_0106.jpg)
WANAHARAKATI WAANDAMANA KUPINGA UTEKAJI WA WASICHANA NIGERIA
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Wanaharakati walaani utekaji wasichana Nigeria
CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (Tamwa) kwa kushirikiana na mashirika yanayotetea haki za wanawake na watoto, wamelaani vitendo vya utekaji nyara kwa wasichana zaidi ya 200 vilivyofanywa na maharamia (Boko...
11 years ago
Habarileo09 May
Alaani utekaji wasichana Nigeria
MAKAMU wa Pili wa Rais Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd amesema Serikali inaungana na Chama cha Majaji Wanawake Duniani (IAWJ) kulaani vitendo vya ukatili na utekaji kwa wasichana nchini Nigeria.
11 years ago
Tanzania Daima27 Jul
CWP wakerwa utekaji wasichana Nigeria
WABUNGE wanawake wa mabunge ya Jumuiya ya Madola, (CWP), wameitaka jumuiya ya kimataifa kuingilia kati na kushirikiana na Serikali ya Nigeria, kuhakikisha watoto wa kike 200 wanaoshikiliwa na kundi la...
11 years ago
Habarileo27 Jul
Wabunge Madola walaani utekaji wasichana Nigeria
WABUNGE wanawake wa Nchi za Jumuiya ya Madola (CWP) wametoa tamko la kulaani matukio ya utekaji na utesaji wa wasichana nchini Nigeria linalofanywa na kundi la kigaidi la Boko Haram.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/q34XLvoT5YiPFXMJknd69yP35KHwRdTj0EnqDFME6jhtgpW3*znNWap0-Hpx4KY5bPUj3MaQg-P5bR*jw31rGgnBsb-Oqw0m/MRSOBAMA.jpg)
MICHELLE OBAMA NAYE ALAANI UTEKAJI WASICHANA NIGERIA
9 years ago
BBCSwahili16 Dec
Washia waandamana kupinga jeshi Nigeria
10 years ago
Dewji Blog13 Dec
Tigo yadhamini shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana jijini Dar es Salaam
Meneja wa Mawasiliano wa Tigo Bw. John Wanyancha akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani), wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana kupitia mradi wa ‘Apps & Girls’ ulio chini ya Tigo Reach For Change.
Mwanzilishi wa Apps & Girls Bi. Carolyne Ekyamsiima akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati wa shindano la kubuni tovuti kwa wanafunzi wasichana. Mradi huu upo...
9 years ago
MichuziWENGI WAJITOKEZA UZINDUZI WA AWAMU YA PILI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WANAWAKE SOKO LA TEMEKE STERIO JIJINI DAR ES SALAAM
KWA PICHA ZAIDI...