Washindi 16 wapatikana katika droo ya Airtel Mkwanjika
Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (katikati) akiongea na moja ya washindi kupitia simu ya mkononi wakati wa kuendesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 16 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Bwana Abdallah Hemed na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma (kulia).
Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imechezesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkwanjika na kuwapata...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers22 Dec
9 years ago
MichuziDROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI
9 years ago
Global Publishers06 Jan
9 years ago
MichuziDROO YA PILI YA AIRTEL MKWANJIKA PROMOSHENI YAFANYIKA
9 years ago
MichuziWASHINDI 35 WAPATIKANA DROO YA PILI YA KAMPENI YA MCHEZA KWAO YA BENKI YA NBC
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-FQQM9tuAfbM/VcrxYBGPkjI/AAAAAAAHwJU/CO78rS8xRwI/s72-c/unnamed%2B%25285%2529.jpg)
Airtel yatangaza washindi wa droo ya nne ya “Jiongeze na Mshiko”
Akiongea wakati wa droo hiyo, Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki alisema leo tunatangaza washindi wawili wa promosheni ya "Jiongeze na...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-hQAa-B44Tt4/Va9ueM96eRI/AAAAAAAHq_w/JbGGLNdqXH0/s72-c/Picture%2B1jpg.jpg)
AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA KWANZA WA DROO YA PROMOSHENI YA "JIONGEZE NA MSHIKO"
![](http://1.bp.blogspot.com/-hQAa-B44Tt4/Va9ueM96eRI/AAAAAAAHq_w/JbGGLNdqXH0/s640/Picture%2B1jpg.jpg)
aliyepatikana wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wiki ya
promosheni ya "Jiongeze na Mshiko" ambapo wateja wawili wa Airtel
kutoka mikoa ya Geita na Mtwara walipatikana akichukua taarifa za
mshindi (kushoto) ni mkaguzi kutoka bodi ya michezo ya kubahatisha
bwana Humudi Abdul Hussein na Afisa huduma za ziada Airtel bwana
Fabian Felician.(kati) droo hii imechezwa leo katika makao makuu ya
Airtel Moroco jijini Dar es...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rYXJV*jyRSleLaEoEI3MpT0B9LCGdVZ9AfGkD44o6We5dLaZfhMa8ChClCAcORU*sb1746XgyDrmI6b6UPFl2BtSV71CuBug/1B.jpg)
AIRTEL IMETANGAZA WASHINDI WA DROO YA NNE YA “JIONGEZE NA MSHIKO”