Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHINDI 35 WAPATIKANA DROO YA PILI YA KAMPENI YA MCHEZA KWAO YA BENKI YA NBC

 Meneja Malipo ya Akaunti za Mishahara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Amos Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa droo ya pili ya kampeni ya akaunti za mishahara iitwayo ‘Mcheza Kwao’ jijini Dar es Salaam leo. Jumla ya washindi 35 walijishindia zawadi mbalimbali zikiwemo nyongeza ya pesa katika akaunti zao ya hadi asilimia 50. Kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Millao na kulia ni Meneja wa Akaunti Maalumu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Washindi zaidi wapatikana kampeni ya akaunti za mishahara ya Benki ya NBC

 Meneja Malipo ya Mishahara wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Amos Lyimo (wa pili kushoto), akizungumza wakati wa droo ya mwisho ya kampeni ya akaunti za mishahara ya NBC iitwayo ‘Mcheza Kwao’ jijini Dar es Salaam leo ambapo zaidi ya wateja 50,000 wa zamani na wapya walishiriki na kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo nyongeza ya pesa hadi asilimia 50 ya mishahara yao na huduma za bure katika baadhi ya miamala kupitia akaunti hizo. Wengine kutoka kushoto ni Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya...

 

9 years ago

Global Publishers

Washindi 16 wapatikana katika droo ya Airtel Mkwanjika

Pic 1Meneja Uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando (katikati) akiongea na moja ya washindi kupitia simu ya mkononi wakati wa kuendesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkawnjika ambapo washindi 16 kutoka katika mikoa mbalimbali walipatikana. Akishuhudia Msimamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini , Bwana Abdallah Hemed na Afisa Masoko wa Airtel Bi Rebecca Mauma (kulia).

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel leo imechezesha droo ya kwanza ya promosheni ya Airtel Mkwanjika na kuwapata...

 

5 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza washindi wa droo ya kwanza ya kampeni ya 'Chanja Kijanja na Exim Bank Mastercard'

 Benki ya Exim Tanzania hii leo imetangaza washindi watano wa mwezi katika kampeni yake ya 'Chanja Kijanja na Exim Mastercard'. Kampeni hiyo inalenga kuhamasisha wateja wa benki ya Exim kutumia kadi zao za Mastercard katika manunuzi ya mtandaoni au kufanya malipo kupitia mashine za malipo (POS) katika maduka mbalimbali na maeneo mengine nchini.
Akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwatangaza washindi wa droo ya kwanza  wa kampeni hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Michuzi

wawili wapatikana droo ya pili ya Winda Safari ya Brazili na Serengeti

  Meneja wa bia ya Serengeti Rodney Rugambo  (kushoto) akionyesha zawadi ya simu aina ya Samsung Tab ambayo washindi 2 wa droo ya winda safari ya Brazili  na Serengeti  wamejishindia katika droo iliyochezeshwa leo asubuhi. Anayeshuhudia ni afisa mwandamizi wa PWC Bw Tumaini aliyeko kulia.   Meneja wa bia ya Serengeti Bw Rodney Rugambo (katikati) akitangaza mshindi wa promosheni ya winda safari ya  Brazilin a Serengeti aliyejishindia simu aina ya Samsung Tab. Wanaoshuhudia ni msimamizi wa...

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAPATA MSHINDI WA DROO YA PILI AKAUNTI YA MALENGO

Ofisa Masoko wa Benki ya Exim Tanzania tawi la Moshi, Bi. Elihaika Munuo (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya IPhone 6 kwa mshindi wa droo  ya pili ya kampeni ya Akaunti ya Malengo ya Dola za Kimarekani inayoendeshwa na benki hiyo, Bw, Rajnikant Shah, katika hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika tawi la benki ya hiyo Manispaa ya Moshi mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni Meneja wa benki hiyo tawi la Moshi Bw. John Ngowi(kushoto) na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo tawi la Moshi Philip Mtei...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI YA EXIM YAENDESHA DROO YA KWANZA KAMPENI YA AKAUNTI YA MALENGO


Meneja Bidhaa wa benki ya Exim, Bw Aloyse Maro akiokota moja ya kura za wateja wakati wa kuchezesha bahati nasibu ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayoendeshwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Wanaoshuhudia ni pamoja na mwakilishi wa Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Humudi Abdulhussein  (kushoto) na mmoja wa maafisa wa beki hiyo Bw George Musetti.
Benki ya Exim Tanzania imeendesha  droo yake ya kwanza ya kampeni ya akaunti ya malengo inayolenga...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya NBC yazindua kampeni ya akaunti za mishahara

Kaimu Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Andrew Lyimo (katikati), akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya akaunti za mishahara iliyopewa jina la ‘Mcheza Kwao’ yenye lengo la kuhamasisha wafanyakazi kuchukulia misharahara benki. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Huduma za Jamii wa benki hiyo, Irene Peter na Meneja Malipo ya Mishahara na Maendeleo, Amos Lyimo. Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter (kushoto),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani