WASHINDI WA TMT KUTOKA KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WAWASILI DAR ES SALAAM TAYARI KWA SAFARI YA KUSHINDANIA MILIONI 50
Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kutoka Kanda ya Ziwa wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere, Jijini Dar Es Salaam jana kwaajili ya Kuingia kambini tayari kwa safari ya kushindania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa Nane
Washindi wa Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kanda ya Nyanda za Kusini, Stephen Mapunda(mwenye kofia nyekundu) na Mtawa Kaparata (mwenye fimbo) wakiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mwl Nyerere jana tayari...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWASHINDI WA TMT KUTOKA KANDA YA ZIWA NA NYANDA ZA JUU KUSINI WAWASILI DAR ES SALAAM TAYARI KWA SAFARI YA KUSHINDANIA MILIONI 50
10 years ago
MichuziShindano ya Tanzania Movie Talents Kanda ya nyanda za juu kusini Mbeya lakamilika, washindi watatu wapatikana
11 years ago
GPLSHINDANO LA TANZANIA MOVIE TALENTS KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI LAINGIA HATUA YA PILI LEO, KESHO WASHINDI KUPATIKANA
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Washiriki 20 wa shindano la TMT waingia rasmi kambini jana usiku, tayari kwa safari ya kuwania Milioni 50
Muonekano wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa nane.
Mmoja kati ya Washindi watatu kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwizago akiingia rasmi kambini hapo jana wakati wakitokea kwenye matembezi. Washiriki wote 20 ambao ni washindi kutoka Kanda sita za Tanzania sasa wapo kambini kwaajili ya kujifua ili kuwania kitita cha Shilingi...
10 years ago
Vijimambo
DKT. SLAA, AENDELEA NA ZIARA YA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI, APIGA DEBE WANANCHI KUJIANDIKISHA TAYARI KWA UCHAGUZI MKUU

11 years ago
GPLWASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA SAFARI YA KUWANIA MILIONI 50
10 years ago
Michuzi24 Feb
TAMWA YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WA MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI JUU YA KUPAMBANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
Na Fredy Mgunda, Iringa
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika zaidi habari zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia hususan dhidi ya wanawake na watoto ili kuiamsha zaidi jamii inayowafanyiwa vitendo hivyo na mamlaka husika ziweze kuchukua hatua za kisheria dhidi ya vitendo hivyo.Msisitizo huo...
11 years ago
Dewji Blog14 Sep
Warembo Miss Tanzania 2014 wawasili kambini, kanda ya ziwa waendesha gari yao hadi Dar
Na Father Kidevu Blog
Wanyange 30 wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2014 jana wameingia kambini tayari kwa safari ya fainali za Miss Tanzania 2014 zitakazo fanyikia mapema mwezi Oktoba jijini Dar es Salaam.
Warembo hao waliowasili kwa muda tofauti kuanzaia saa 12 alfajiri ya jana na kupokelewa na waandaaji wa Miss Tanzania katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la maraha la Dar.
Warembo kutoka Kanda ya Ziwa walitia fora pale warembo hao walipowasili kambini hapo wakiwa...
10 years ago
Vijimambo
TAARIFA MAALUMU KUTOKA POLISI KANDA MAALUMU YA DAR ES SALAAM JUU YA WAHALIFU WALIOTIWA NGUVUNI

Watuhumiwa wanne wamekamatwa jijini Dar es Salaam katika makutano ya barabara ya Bibi Titi na Ohio karibu na Hotel ya Serena baada ya kumpora raia wa kigeni wakiwa na gari dogo rangi ya kijivu yenye nambari za usajili T787 DBU Toyota Cienta.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi la wahalifu kuwapora pesa na vitu vya thamani kama mikufu, bangili, hereni pia pete na vitu mbalimbali vya thamani raia wa kigeni na akina mama ambao hupenda kutembea na pochi. Wahalifu hawa hutumia gari dogo ambalo mara kwa...