WASHIRIKI 29 WA SHINDANO LA MAISHA PLUS 2014 WAINGIA RASMI KIJIJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-wUSTfQ-GFDk/Uy-_Sbl_CnI/AAAAAAAA3w0/C2msG6gJ4o4/s1600/1.jpg)
Ofisa Mtendaji wa Kampuni ya DMB ambao ni wamiliki wa Maisha Plus Masoud Ally (Masoud Kipanya) akiongea katka uzinduzi wa kijiji cha Maisha Plus, ambapo jana washiriki wapatao 29 waliingia kijijini kuanza kukabiliana na changamoto za kuweza kupata shilingi milioni 25 za Kitanzania. Wageni waalikwa waliofika kijiji cha Maisha Plus kuangalia uzinduzi.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLWASHIRIKI 20 WA SHINDANO LA TMT WAINGIA RASMI KAMBINI JANA USIKU, TAYARI KWA SAFARI YA KUWANIA MILIONI 50
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_0089.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND
10 years ago
VijimamboSHEREHE YA KUWAKARIBISHA RASMI WASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 KIJIJI CHA MAKUMBUSHO JIJINI DAR, WAINGIA RASMI KAMBINI
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Washiriki 20 wa shindano la TMT waingia rasmi kambini jana usiku, tayari kwa safari ya kuwania Milioni 50
Muonekano wa TMT House ambayo washiriki 20 wa Shindano la Tanzania Movie Talents wameweka kambi rasmi kuanzia jana Usiku kwa mchakato wa kuwania Milioni 50 katika fainali itakayofanyika Mwishoni mwa Mwezi wa nane.
Mmoja kati ya Washindi watatu kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwizago akiingia rasmi kambini hapo jana wakati wakitokea kwenye matembezi. Washiriki wote 20 ambao ni washindi kutoka Kanda sita za Tanzania sasa wapo kambini kwaajili ya kujifua ili kuwania kitita cha Shilingi...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 watambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight Band
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku.
Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kushoto ni Meneja wa Band Aneth Kushaba akimpa sapoti.
Mashabiki wa Skylight Band...
11 years ago
GPLWIKI 3 KUELEKEA FAINALI YA SHINDANO LA TMT, WASHIRIKI WENGINE 2VWAAGA SHINDANO
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-wUSTfQ-GFDk/Uy-_Sbl_CnI/AAAAAAAA3w0/C2msG6gJ4o4/s72-c/1.jpg)
Taaswirazzz za washiriki wa Maisha Plus walivyoingia kijijini jana
![](http://2.bp.blogspot.com/-wUSTfQ-GFDk/Uy-_Sbl_CnI/AAAAAAAA3w0/C2msG6gJ4o4/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ehiguqz_O2c/Uy-_UQHA8UI/AAAAAAAA3xU/qM8Hr-D9IoA/s1600/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SlMRRQyhsOg/Uy-_VGmJxjI/AAAAAAAA3xc/28smdVG2mUw/s1600/2aa.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Kn6Ty_--Dmo/Uy-_ca6uq3I/AAAAAAAA3x8/NLq80jMjHzA/s1600/2aaa.jpg)
11 years ago
GPLMAMA SHUJAA WA CHAKULA WAINGIA RASMI KIJIJI CHA MAISHA PLUS, PROFESA ANNA TIBAIJUKA MGENI RASMI KATIKA SHEREHE HIZO