WASICHANA WERUWERU WAASWA

Ofisa Mkuu wa Uhusiano wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi chetu cha uhitimu mmoja wa wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakati wa mahafali ya shule hiyo yaliyofanyika mjini Moshi, Kilimanjaro mwishoni mwa wiki. Ofisa huyo aliwakilisha wafanyakazi wa Vodacom kupitia Vodacom Foundation ikiwa ni sehemu ya mchango wao katika kusaidia wasichana katika elimu ambapo kampuni hiyo pia ilitoa msaada wa mashine...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
WASICHANA WERUWERU WAASWA: “FUATENI NYAYO, JIFUNZE NA KUPATA USHAURI KWA WANAWAKE WALIOFANIKIWA “
5 years ago
MichuziCHUO KIKUU MZUMBE WASHEREKEA SIKU YA WANAWAKE NA WANAFUNZI, WASICHANA WAASWA KUSOMA MASOMO YANAYO TUMIA RASILIMALI ZAIDI
CHUO kikuu cha Mzumbe kampasi ya Dar es Salaam wamesheherekea siku ya Mwanamke Dunia kwa Kuzungumza yapasayo mtoto wa kike na wanafunzi wa shule ya sekondari ya Hananasif jijini Dar es Salaam leo.
Wanafunzi hao wameaswa kusoma masomo ambayo hayatumii watu wengi na kusoma masomo ambayo yanatumia rasilimali ili iwe rahisi kuajiliwa na kujiajili wenyewe.
Hayo ameyasema Mhadhiri wa Chuo kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dkt. Godberther Kinyondo jijini Dar es Salaam leo wakati wa...
11 years ago
Michuzi
Attention- Weruweru Alumni in the Diaspora


5 years ago
Michuzi
Wafanyakazi wanawake TCRA Kanda ya Kaskazini Watembelea shule ya Weruweru na kutoa Elimu.




Na.Vero Ignatus,Arusha
Katika kusheherekea siku ya...
11 years ago
Michuzi
TAARIFA YA MKUTANO KWA WANA WERUWERU JUMAMOSI CINE CLUB, MIKOCHENI, DAR ES SALAAM
Mkutano wa Weruweru Alumnae Foundation utafanyika Jumamosi tarehe 8 Februari 2014, Cine Club, Mikocheni/Msasani, Dar es Salaam kuanzia saa Nne (4) asubuhi Tafadhali mtaarifu Golden Girl mwingine

