Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi wanavyoitazama ukawa baada uchaguzi

Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa aina yake kwa sababu ya ushindani mkubwa uliokuwapo kati ya wagombea urais wawili, Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wa Chadema chini ya mwavuli wa Ukawa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Tanzania 2020: Nini mustakabali wa upinzani baada ya 'kifo' cha UKAWA?

Je, hatima ya uliokuwa muungano wa vyama vya upinzani UKAWA (Umoja wa Katiba ya Wananchi) 'ulishazikwa rasmi'.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waishangaa Ukawa

WASOMI mbalimbali nchini wamewatahadharisha wananchi kwa kusema nchi haijafikia wakati wa wanasiasa kutaka kushinda uchaguzi kwa gharama yoyote, hata kama hawana misingi ya utawala bora.

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua Ukawa

ukawaSHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.

DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi watabiri anguko la Chadema, Ukawa

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa ya Chadema, Freeman Mbowe kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Willbrod Slaa, wasomi na wanachama wa chama hicho, wamedai kuwa huo ni mwanzo wa kupasuka kwa chama hicho na kusambaratika kwa umoja wa vyama vinne vya upinzani vinavyounda Ukawa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa

Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda baada ya vyama vinavyounda ukawa kuzindua kampeni zake juzi, baadhi ya wasomi na wananchi wamekuwa na maoni tofauti.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

10 years ago

Mwananchi

Wasomi, wanaharakati waeleza dosari zilivyoathiri uchaguzi

Baadhi ya wasomi na wanaharakati wamesikitishwa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyokuwa na dosari zinazofanana katika maeneo mengi ya nchi na kueleza wasiwasi wao kuwa huenda kulikuwa na njama za kuvuruga uchaguzi huo.

 

10 years ago

Bongo Movies

JB Awataka Wasomi Wasifikiri Kuomba Kazi Baada ya Masomo,Bali Wafikirie Kutengeneza Ajira

Mwigizaji na muongozji mkongwe wa Filamu hapa nchini, Jacob Stephen “JB”aliweka bandiko hili mtandaoni akiwa mkoani Mwanza,kwenye mkutano na waandishi wa habari kuhusiana ma mradi mpya wakuhamasisha watanzania kujikita zaidi kwenye ujasiriamali ianayofahamika kwa jina la : “FURSA YA KUJITAJIRISHA KIADILIFU”.

JB aliandika;

“Watanzania wenzangu hasa wasomi.tusifikiri kuomba kazi baada ya kuhitimu masomo yetu badala yake tufikirie kutengeneza ajira.inawezekana....”

Picha :JB akiongea na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani