Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasomi watabiri anguko la Chadema, Ukawa

SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa ya Chadema, Freeman Mbowe kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Willbrod Slaa, wasomi na wanachama wa chama hicho, wamedai kuwa huo ni mwanzo wa kupasuka kwa chama hicho na kusambaratika kwa umoja wa vyama vinne vya upinzani vinavyounda Ukawa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA

Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Alvaro Rodriguez. Na Salome Kitomary 18th September 2015 Umoja wa Ulaya (EU), umesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini, una ushindani mkali na siyo mwepesi kama chaguzi nne zilizopita […]

The post Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Raia Mwema

Ukawa, Magufuli na anguko kuu

WAHENGA wana msemo; “mwenye nguvu mpishe, usipompisha utavunjika mbavu. Si siri Dk.

Yahya Msangi

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa: CCM wajiandae kwa anguko 2015

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Zanzibar wameibeza ripoti iliyotolewa wiki hii na Taasisi ya Twaweza, wakisema haielezi hali halisi ilivyo.

 

10 years ago

Mtanzania

Wasomi waichambua Ukawa

ukawaSHABANI MATUTU NA PATRICIA KIMELEMETA
SIKU moja baada ya Kamati Maalumu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoa mapendekezo ya ugawaji wa majimbo 211 kati ya 239, wasomi na wachambuzi wa siasa wametoa maoni yao.
Wakizungumza na MTANZANIA jana, wasomi na wachambuzi hao wa siasa pamoja na mambo mengine, walisema bado Ukawa wanatakiwa kueleza umma namna watakavyoandaa ilani yao na kuinadi mbele ya wananchi.

DK. BANA
Akitoa maoni yake jijini Dar es Salaam, mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es...

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi waishangaa Ukawa

WASOMI mbalimbali nchini wamewatahadharisha wananchi kwa kusema nchi haijafikia wakati wa wanasiasa kutaka kushinda uchaguzi kwa gharama yoyote, hata kama hawana misingi ya utawala bora.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi wanavyoitazama ukawa baada uchaguzi

Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa wa aina yake kwa sababu ya ushindani mkubwa uliokuwapo kati ya wagombea urais wawili, Dk John Magufuli wa CCM na Edward Lowassa wa Chadema chini ya mwavuli wa Ukawa.

 

10 years ago

Habarileo

Wasomi: Chadema imsamehe Zitto

Zitto KabweWASOMI na wachambuzi wa masuala ya siasa nchini, wamekishauri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kumsamehe Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto kwa kuwa bado anahitajika kujenga chama hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Wasomi watoa mitazamo tofauti uzinduzi wa kampeni za Ukawa

Wakati joto la uchaguzi mkuu likiendelea kupanda baada ya vyama vinavyounda ukawa kuzindua kampeni zake juzi, baadhi ya wasomi na wananchi wamekuwa na maoni tofauti.

 

10 years ago

TheCitizen

Ukawa flag bearer most likely from Chadema to emerge from Chadema

Since the coalition of defenders of people’s constitution (Ukawa), which is comprised by four opposition parties, agreed to field a single candidate at all levels, speculations and questions have been thrown on who will carry the coalition’s flag in the Presidential contest.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani