Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Alvaro Rodriguez. Na Salome Kitomary 18th September 2015 Umoja wa Ulaya (EU), umesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini, una ushindani mkali na siyo mwepesi kama chaguzi nne zilizopita […]
The post Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA appeared first on Mzalendo.net.
Mzalendo Zanzibar
Habari Zinazoendana
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
CCM, Chadema mchuano mkali Arusha
WAKATI kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu zikishika kasi katika m
Mwandishi Wetu
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Mchuano mkali
*Lowassa atikisa Chato, Magufuli afunika Kigoma
*Kaborou akataliwa, Duni ampigia debe Kigwangala
NA WAANDISHI WETU
SASA ni wazi kuwa mchuano wa wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema ni mkali, kutokana na wagombea wa vyama hivyo kuendelea kutikisa.
Hali hiyo ilidhihirika jana, baada ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa, kupata mapokezi makubwa katika mji wa Chato, Mkoa wa Geita ambako ni nyumbani kwa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli.
Wakati Lowassa akipata mapokezi hayo,...
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Mchuano mkali majimbo 34
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Wagombea urais Nigeria mchuano ni mkali
10 years ago
Mtanzania30 Sep
Mchuano mkali theluthi mbili Katiba Mpya
![Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib, akipiga kura ya ya siri kwa sura 10 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/09/Ali-Juma-Khatib.jpg)
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib, akipiga kura ya ya siri kwa sura 10 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
MCHUANO mkali umeibuka bungeni jana wakati wa upigaji kura wa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar walipiga kura ya HAPANA
Upigaji kura ulianza jana saa 9 alasiri kwa wajumbe kupiga kura katika sura 10 na ibara 157 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Hatua hiyo ilitawaliwa na wajumbe wengi kutoka...
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
CCM yakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa UKAWA
10 years ago
Habarileo05 Aug
Wasomi watabiri anguko la Chadema, Ukawa
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Taifa ya Chadema, Freeman Mbowe kukiri kupumzika kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk Willbrod Slaa, wasomi na wanachama wa chama hicho, wamedai kuwa huo ni mwanzo wa kupasuka kwa chama hicho na kusambaratika kwa umoja wa vyama vinne vya upinzani vinavyounda Ukawa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
9 years ago
Bongo Movies21 Dec
Mchuano Mkali TDFAA 2015, Jimmy Mafufu, Mike Sangu, David , Dile , Salum Chilwa
MCHUANO mkali katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya mwenyekiti wa chama cha waigizaji Taifa (TDFAA) huku wasanii wenye ushawishi kwa wasanii wenzao wakijitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi hiyo anasema katibu Twiza.
![Jimmy Mafufu akichukua fomu ya kugombea kutoka kwa katibu wa TDFAA Twiza Mbarouk .](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/Jimmy-Mafufu.jpg)
Jimmy Mafufu akichukua fomu ya kugombea kutoka kwa katibu wa TDFAA Twiza Mbarouk .
“Mchuano ni mkali kila mhusika amepanga kuwa ni mshindi katika kinyang’anyiro cha kugombea nafasi ya uenyekiti Kitaifa kwa chama cha Waigizaji, hadi sasa ni zaidi ya wasanii wane...
9 years ago
MichuziRAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO