Mchuano mkali theluthi mbili Katiba Mpya
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar, Ali Juma Khatib, akipiga kura ya ya siri kwa sura 10 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
MCHUANO mkali umeibuka bungeni jana wakati wa upigaji kura wa Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kutoka Zanzibar walipiga kura ya HAPANA
Upigaji kura ulianza jana saa 9 alasiri kwa wajumbe kupiga kura katika sura 10 na ibara 157 za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Hatua hiyo ilitawaliwa na wajumbe wengi kutoka...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo30 Sep
Theluthi mbili Zanzibar rasimu ya Katiba utata
KAMA ilivyotarajiwa kwamba theluthi mbili ya kura za ‘Ndiyo’ kwa ajili ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa ingeleta shida, tayari kwa idadi ya wajumbe waliokuwa ndani ya ukumbi wa Bunge jana, theluthi mbili ya wajumbe wa Zanzibar imekosekana.
11 years ago
Habarileo07 Apr
Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo
WAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.
9 years ago
Mtanzania17 Sep
Mchuano mkali
*Lowassa atikisa Chato, Magufuli afunika Kigoma
*Kaborou akataliwa, Duni ampigia debe Kigwangala
NA WAANDISHI WETU
SASA ni wazi kuwa mchuano wa wagombea urais wa vyama vya CCM na Chadema ni mkali, kutokana na wagombea wa vyama hivyo kuendelea kutikisa.
Hali hiyo ilidhihirika jana, baada ya mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa, kupata mapokezi makubwa katika mji wa Chato, Mkoa wa Geita ambako ni nyumbani kwa mgombea urais wa CCM, Dk. John Magufuli.
Wakati Lowassa akipata mapokezi hayo,...
9 years ago
Mwananchi26 Sep
Mchuano mkali majimbo 34
9 years ago
Raia Mwema07 Oct
CCM, Chadema mchuano mkali Arusha
WAKATI kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu zikishika kasi katika m
Mwandishi Wetu
10 years ago
BBCSwahili31 Mar
Wagombea urais Nigeria mchuano ni mkali
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Sep
Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN), Alvaro Rodriguez. Na Salome Kitomary 18th September 2015 Umoja wa Ulaya (EU), umesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu nchini, una ushindani mkali na siyo mwepesi kama chaguzi nne zilizopita […]
The post Umoja wa Ulaya watabiri mchuano mkali CCM, UKAWA appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Theluthi mbili inawezekana — Ngeleja
MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati Na. 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William Ngeleja, amesema kuna uwezekano mkubwa wa kupata theluthi mbili ya Bara na Zanzibar kuelekea mfumo wa serikali mbili....
10 years ago
StarTV30 Sep
Theluthi mbili yaanza kutafutwa Dodoma.
UPIGAJI kura kupata Katiba Inayopendekezwa, unatarajiwa kuanza leo ambapo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba walio bungeni na nje ya Bunge, watapiga kura ya kuikubali, au kuikataa kwa njia ya wazi na siri.
Kwa wajumbe watakaokuwa nje ya ukumbi huo, wakiwemo watakaokuwa nje ya nchi, tayari utaratibu wa kupiga kura popote walipo kwa njia ya nukushi (faksi) na intaneti, umeshaandaliwa.
Akizungumza bungeni juzi wakati wa kuhitimisha mjadala wa mapendekezo ya mabadiliko ya Rasimu katika Katiba...