Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASTARA TASNIA YA FILAMU IMEINGILIWA NA PEPO

Stori: Gladness Mallya MSANII anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba tasnia ya filamu kwa sasa inaonekana kama imeingiliwa na pepo mbaya kutokana na mambo kwenda ndivyo sivyo kila kukicha. Msanii anayefanya vizuri kunako kiwanda cha filamu Bongo, Wastara Juma.
Akizungumza na gazeti hili, Wastara alisema tasnia ya filamu imekuwa ni ya migogoro, chuki huku bei ikishuka  jambo ambalo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASNIA YA UTANGAZAJI SASA IMEINGILIWA!

KWENU, Watangazaji wa kike Bongo. Poleni na kazi za kila siku na hongereni kwa namna mnavyojituma kuhakikisha gurudumu linasonga mbele. Nimeona leo ni vyema niwakumbuke kwa barua yenye lengo la kukumbushana kuhusu weledi wa kazi yenu ya utangazaji. Nianze kwa kusema kwamba, kiukweli baadhi yenu ni kama mmevamia fani!
Heshima ya utangazaji iliyokuwepo zamani imeanza kupotea! Kuna watangazaji wanatia kinyaa. Yaani wamegeuza...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA FILAMU WAKUTANA NA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA YA FILAMU NCHINI.

Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo leo jijini Dar es Salaam.Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini itakayofanyika tarehe 23 Mei mwaka huu. Kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za TAFA Bibi. Caroline Gachara Gul (kulia) akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini kwa Uongozi wa Wizara ya...

 

11 years ago

Michuzi

Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania lawasilisha maoni ya utafiti wa tasnia ya filamu nchini

 Mkurugenzi wa Sera na Mipango kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Joyce Mwakisyala  (katikati )akipokea maoni ya  Utafiti  kuhusu Tasnia ya Filamu Tanzania kutoka kwa Rais wa Shirikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa kwanza kulia, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi Joyce Fissoo  Rais wa Shirikikisho la Wasanii wa Filamu Tanzania (TAFF) Bwana Simon Mwakifwamba wa pili kutoka kulia akionyesha maoni ya  Utafiti ...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo (Kulia) akifungua kikao kati ya wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo pamoja na Kamati ya maandalizi ya Tuzo za TAFA jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

JB: Tunafurukuta Lakini Tasnia ya Filamu Inakufa

Mwigizaji na mwongozaji mkongwe wa filamu za Kibongo Jacob Stephen ‘JB’ ametoa dukuduku lake la moyoni na kusema kwamba tasnia ya filamu ipo katika hali mbaya.

JB ambaye amefanya kazi kubwa katika kuiinua tasnia hiyo alisema, filamu inaangukia katika kifo kama ulivyoanguka muziki wa Bongo Fleva kutokana na soko kushikiliwa na maharamia.

Staa huyo alisema hali hiyo inawafanya wasambazaji kuanza kuikimbia tasnia hiyo na wengine kushusha bei ya filamu.

“Hali ya soko kwa sasa ni mbaya sana...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazee ‘wanaokimbiza’ kwenye tasnia ya filamu

MARA nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari kumekuwepo na taarifa zinazohusu maisha na vibweka mbalimbali vya waigizaji huku wengi wakiwa wale walio katika umri wa ujana. Taarifa zao zimekuwa zikifuatiliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani