TASNIA YA UTANGAZAJI SASA IMEINGILIWA!
![](http://api.ning.com:80/files/uxLbwSVx3LuQeMzyzZTqqyF4DWHoM3Tg-KL9UoEUwHO7nj7bdUn96LWAN9LVAP2spM7roc994Qh-VFpGn-lCB0OKDs5kHk-E/BARUANZITO.jpg)
KWENU, Watangazaji wa kike Bongo. Poleni na kazi za kila siku na hongereni kwa namna mnavyojituma kuhakikisha gurudumu linasonga mbele. Nimeona leo ni vyema niwakumbuke kwa barua yenye lengo la kukumbushana kuhusu weledi wa kazi yenu ya utangazaji. Nianze kwa kusema kwamba, kiukweli baadhi yenu ni kama mmevamia fani! Heshima ya utangazaji iliyokuwepo zamani imeanza kupotea! Kuna watangazaji wanatia kinyaa. Yaani wamegeuza...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-s85WsE69Pn7bd9Tkjb6ntrorKDqHI*zNvCrAhPP9tUpuP6n8CPrYMSsg4Hkl8zIRlJfnC88rEhO2r4OZbWCsmC/WASTAR.jpg?width=650)
WASTARA TASNIA YA FILAMU IMEINGILIWA NA PEPO
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
JK aomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo
Marehemu Mzee Godfrey Mngodo enzi za uhai wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha aliyekuwa mmoja wa magwiji wa Tasnia ya Utangazaji nchini Mzee Godfrey Mngodo ambaye alifariki dunia, Ijumaa, Septemba 11, 2015 mjini Dar es Salaam.
Katika salamu zake za rambirambi kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na taarifa za kifo cha...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dvZSdMWJQNk/Vcz3BLPr8kI/AAAAAAAHwbQ/NytPRyZKB-M/s72-c/tt.png)
Hukumu Ya Kukiukwa kwa Kanuni za Utangazaji Kituo Cha Utangazaji Cha ITV - vyapewa onyo kali
![](http://2.bp.blogspot.com/-dvZSdMWJQNk/Vcz3BLPr8kI/AAAAAAAHwbQ/NytPRyZKB-M/s640/tt.png)
1.0 Utangulizi:
Mnamo tarehe 10/08/2015, kituo cha ITV kilikiuka Kanuni za Huduma ya Utangazaji (Maudhui), 2005 kupitia kipindi cha Habari Zilizotufikia Hivi Punde kilichorushwa hewani kati ya saa 2.30 asubuhi hadi saa 5.30 asubuhi. Kipindi hiki kilikiuka Kanuni za Utangazaji kwa kutoa taarifa zisizo za kweli na za kichochezi zilizotangaza kwamba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya mgombea wa CHADEMA Mheshimiwa Edward Lowassa. Taarifa hiyo ilikuwa...
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Nkamia akumbuka enzi za utangazaji
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-RugVde3C5cE/VHiSMkcMkUI/AAAAAAABH-4/8oQl1r6bdqo/s72-c/jembe.jpg)
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Aug
Shirika la utangazaji la Taifa lapewa onyo
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Na Beatrice Shayo 29th August 2015 Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA), imetoa onyo kali kwa Shirika la Utangazaji (TBC1) kwa kuchambua vichwa vya habari vya magazeti […]
The post Shirika la utangazaji la Taifa lapewa onyo appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Bongo519 Nov
Avril afikiria kuingia kwenye utangazaji wa TV
![11934732_674761035993224_863885011_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11934732_674761035993224_863885011_n-300x194.jpg)
Muimbaji wa Kenya, Avril huenda siku za usoni akaonekana kwenye screen yako akiendesha kipindi cha TV.
Avril ameiambia Word Is ya gazeti la The Star la Kenya kuwa amekuwa akifuatwa na watu wengi wanaompa ofa ya kufanya talk show lakini bado hajazitilia maanani.
Yeye mwenyewe pia amesema kwa muda mrefu amekuwa akivutiwa kuendesha kipindi cha TV na kuna uwezekano wa kufanya hivyo siku za usoni.
“Ingawa muziki ni kitu ninachokipenda zaidi, nimewahi kupenda televisheni pia. Labda siku za usoni...
10 years ago
Habarileo01 Nov
Nguli wa utangazaji Beni Kiko afariki dunia
ALIYEKUWA mwandishi wa habari na mtangazaji wa Redio Tanzania (RTD) sasa TBC, Ben Kikoromo (72) maarufu kama Beni Kiko, amefariki dunia juzi usiku katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya ugonjwa wa figo.
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Kasoro zachelewesha utangazaji matokeo Iringa Mjini