Kasoro zachelewesha utangazaji matokeo Iringa Mjini
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Iiringa mjini Ahmed Sawa ameahirisha kutangaza matokeo ya ubunge katika jimbo la Iringa mjini  na kuahidi kuyatangaza kesho baada ya kurudiwa kwa uchaguzi katika kituo cha ipogolo c namba mbili manispaa ya Iringa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo27 Oct
CCM Iringa Mjini yakataa matokeo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini kimeyapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Ubunge na Rais Jimbo la Iringa Mjini yanayoelekea kukipa ushindi mkubwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
11 years ago
Michuzi19 Feb
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s400/20150601_161420.jpg)
9 years ago
Vijimambo07 Sep
MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11987063_424257781109789_1218270817209739675_n.jpg?oh=d3b25221b0ee98dc26e39703133fe598&oe=566C9D6B)
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/10330376_424257834443117_2590905553608251965_n.jpg?oh=a3f7d44b65f6bae9791174720f3870fa&oe=566E5BB0)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xlp1/v/t1.0-9/11954816_424257594443141_5282530544314119712_n.jpg?oh=13d73bee1c57e97dab5fabcceddde988&oe=567BA70F&__gda__=1454089245_9f13f1afb82220720964f12a406934f0)
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-dvZSdMWJQNk/Vcz3BLPr8kI/AAAAAAAHwbQ/NytPRyZKB-M/s72-c/tt.png)
Hukumu Ya Kukiukwa kwa Kanuni za Utangazaji Kituo Cha Utangazaji Cha ITV - vyapewa onyo kali
![](http://2.bp.blogspot.com/-dvZSdMWJQNk/Vcz3BLPr8kI/AAAAAAAHwbQ/NytPRyZKB-M/s640/tt.png)
1.0 Utangulizi:
Mnamo tarehe 10/08/2015, kituo cha ITV kilikiuka Kanuni za Huduma ya Utangazaji (Maudhui), 2005 kupitia kipindi cha Habari Zilizotufikia Hivi Punde kilichorushwa hewani kati ya saa 2.30 asubuhi hadi saa 5.30 asubuhi. Kipindi hiki kilikiuka Kanuni za Utangazaji kwa kutoa taarifa zisizo za kweli na za kichochezi zilizotangaza kwamba Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku maandamano ya mgombea wa CHADEMA Mheshimiwa Edward Lowassa. Taarifa hiyo ilikuwa...
10 years ago
Mwananchi03 Jun
MAANDALIZI:Simba, Yanga zachelewesha usajili wa timu ndogo
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge wa Iringa Mjini kizimbani
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa (48) jana amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Iringa kwa mashitaka ya kujeruhi katika kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Nduli.