CCM Iringa Mjini yakataa matokeo
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini kimeyapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Ubunge na Rais Jimbo la Iringa Mjini yanayoelekea kukipa ushindi mkubwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi26 Oct
Kasoro zachelewesha utangazaji matokeo Iringa Mjini
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-1mUMSKOrwpI/VbtrDmMVuYI/AAAAAAAB_Yc/gy_qS_9PwCY/s72-c/mahiga.jpg)
BALOZI DR. MAHIGA DAWA SI KUHAMA CCM ASEMA YEYE NI MKOMBOZI WA CCM IRINGA MJINI.
![](http://2.bp.blogspot.com/-1mUMSKOrwpI/VbtrDmMVuYI/AAAAAAAB_Yc/gy_qS_9PwCY/s640/mahiga.jpg)
Na matukiodaimaBlogALIYEKUWA balozi wa kudumu wa umoja wa mataifa (UN) na mgombea urais katika mchakato wa ndani ya chama cha mapinduzi (CCM) balozi Dr Augustono Mahiga anayeomba kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Iringa mjini kupitia CCM amewashangaa makada maarufu wa chama hicho walioshindwa katika mchakato wa ndani ya chama kwa nafasi ya urais kuhama chama hicho kuwa hao hawakuwa na mapenzi ya kuwatumikia watanzania na kuwa watazunguka kote ila...
9 years ago
Habarileo29 Oct
Chadema yakataa matokeo ya urais
WAKATI leo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikitarajia kutangaza mshindi wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Jumapili iliyopita, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeyakataa matokeo hayo.
11 years ago
Habarileo20 Mar
CCM yapania kurejesha Jimbo la Iringa Mjini
BAADA ya kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema kinajiimarisha zaidi kirejeshe mikononi mwake, Jimbo la Iringa mjini mikononi mwake. Jimbo la Iringa Mjini linaloongozwa na Mchungaji Peter Msigwa aliyechaguliwa mwaka 2010 kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).
11 years ago
Michuzi09 Feb
NEWS ALERT: CCM WASHINDA KATA ZOTE TATU MKOA WA IRINGA, CHADEMA YASHINDA NJOMBE MJINI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s400/20150601_161420.jpg)