Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yakataa matokeo ya urais

WAKATI leo Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikitarajia kutangaza mshindi wa urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa Jumapili iliyopita, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeyakataa matokeo hayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

CCM Iringa Mjini yakataa matokeo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini kimeyapinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Ubunge na Rais Jimbo la Iringa Mjini yanayoelekea kukipa ushindi mkubwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yakataa najisi ya JK

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimedaka taarifa za siri za Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizoonyesha mbinu za chama tawala kutaka kuingiza vyama vya upinzani katika mtego...

 

10 years ago

Michuzi

MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA

 Sehemu ya Wajumbe wa Mkutano  mkuu wa chadema Wakicheza kwa furaha muda mfupi baada ya matokeo ya Uchaguzi kwenye Mkutano Mkuu Kutangazwa Usiku huu Freeman Mbowe akiwashukuru wajumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA  kwa kumchagua tena kushika nafasi ya mwenyekiti Mshindi wa nafasi ya mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa Makamu  Mwenyekiti wa Chadema Bara Profesa Abdallah Safari(Kulia)na Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe wakipungia kwa...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Utoaji wa matokeo ya urais — ZEC

Salma Said, Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo imewaonesha waandishi wa habari na waangalizi wa uchaguzi matayarisho ya tume hiyo pamoja na namna watakavyohesabu matokeo katika kituo cha kurushia matokeo hayo hapo Bwawani Hoteli.. Matangazo hayo […]

The post Utoaji wa matokeo ya urais – ZEC appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

BBCSwahili

Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa

Haya ndiyo matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania kwa mujibu wa majimbo, kama yanavyotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli: Watafiti wamenipunja matokeo ya urais

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema waliofanya utafiti wamempunja asilimia kwani ana uhakika wa kushinda kwa asilimia 95 na si 65 kama zilivyotajwa kwa kuwa wananchi wanampenda, naye yuko tayari kufanya kazi ili kuwaletea maendeleo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kubandika matokeo ya urais vituoni kumechelewa

Kwa namna ambavyo uamuzi wa kubandika matokeo ya kura za urais katika vituo vya kupigia kura umepokewa na wananchi, ni dhahiri kuwa huo ni uamuzi uliochelewa na ulikuwa unasubiriwa na wengi.

 

9 years ago

Mwananchi

Washauri matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani

Waangalizi wa uchaguzi wa Kimataifa wameitaka Tanzania kuifanyia mabadiliko ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani katika chaguzi zijazo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani