Wasyria 3 mbaroni Zanzibar
RAIA watatu wa Syria wamekamatwa wakijiandaa kusafiri kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amaan Karume (AAKIA) kwenda Roma, Italia wakiwa na hati bandia za kusafiria.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili18 Oct
Uingereza yatakiwa kupokea wasyria 50,000
Kanisa la Kianglikana lataka Uingereza iwapokee wakimbizi 30,000 zaidi ilikupunguza mateso yanayowakumba wakimbizi kutoka Syria
9 years ago
BBCSwahili01 Oct
Trump asema atafurusha Wasyria akiwa rais
Donald Trump amesema atafurusha wakimbizi kutoka Syria walio nchini Marekani iwapo atachaguliwa kuwa rais Marekani.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-u2i2RN9rNfw/VMJnFqCEm2I/AAAAAAAG_LY/IaQD5wuNF60/s72-c/unnamed%2B(24).jpg)
Wawili watiwa mbaroni katika tukio la Ujambazi,Darajani Zanzibar mchana wa leo
Watuhumiwa wawili katika tukio la Ujambazi lililotokea Mchana wa leo eneo la Darajani Jua Kali,Zanzibar wametiwa mbaroni baada ya kuzidiwa nguvu na wananchi wenye hasira wakati walipokuwa wakiwakimbia Polisi.
Inadaiwa kuwa watuhumiwa hao walikua watatu na walitaka kuiba katika maduka na mawakala wa huduma za pesa yaliyopo eneo la Mnazi,baada ya kushtukiwa walikimbia na kufukuzana na Polisi hadi katika maeneo ya Darajani ndipo wananchi kwa kushirikiana na polisi wakawadhibiti na...

VijimamboViongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania