Wataalamu wa VVU wataka mkazo kuzuia maambukizi
WATAALAMU wa maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, wamesema kama hatua hazitazochukuliwa mapema, maambukizi hayo yataongezeka. Wamesema kama hatua hizo hazitachukuliwa, asilimia 5 hadi 10 ya watoto wachanga wataambukizwa wakati wa ujauzito, asilimia 10-15 ya watoto wataambukizwa wakati wa kuzaliwa na asilimia 5-20 wataambukizwa wakati wa kunyonyeshwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Mar
Elimu itolewe kwa wananchi ili kuzuia kasi ya maambukizi mapya ya VVU Wilayani Mafia — Mama Salma Kikwete
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akizungumza na wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia (hawapo pichani).
Baadhi ya wafanyakazi wa hospitali ya Wilaya ya Mafia wakifuatilia kwa makini hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete (hayupo pichani).
Na Anna Nkinda – Maelezo, Mafia
Viongozi wa wilaya ya Mafia na wafanyakazi wa Idara ya afya wametakiwa kuhakikisha elimu ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) inatolewa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s72-c/IMG_2273.jpg)
MKUU WA WILAYA YA NKASI AZINDUA HUDUMA YA OPTION B PLUS MKOANI RUKWA (TIBA YA KUZUIA MAAMBUKIZI YA VVU KUTOKA KWA MAMA MJAMZITO KWENDA KWA MTOTO
![](http://3.bp.blogspot.com/-A4ng9e8SUS4/U5RKfTJRleI/AAAAAAAAFl0/l134agmH7ms/s1600/IMG_2273.jpg)
11 years ago
Mwananchi19 Jul
Tiba ya VVU yawachanganya wataalamu
10 years ago
Tanzania Daima19 Oct
Maambukizi ya VVU yapungua
TANZANIA imefanikiwa kupunguza viwango vya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kutoka asilimia 26 mwaka 2009 hadi kufikia asilimia 15 mwaka 2012. Hayo...
10 years ago
Mwananchi08 Jan
KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Maambukizi VVU yapungua
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi (VVU), kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yamepungua kwa asilimia 90. Imeelezwa. Hayo yalisemwa na Meneja wa shirika la EGPAF Mkoa wa Tabora, Dk. Alphaxard...
11 years ago
Mwananchi04 May
Maambukizi ya VVU yaongezeka migodini
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Maambukizi ya VVU Katavi yaongezeka
KIWANGO cha maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU) mkoani Katavi, yameongezeka na kufikia asilimia 5.9 ikilinganishwa na asilimia 5.1 ya maambukizi ya VVU kitaifa. Taarifa hiyo ilitolewa mjini hapa jana...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Tohara inapunguza maambukizi ya VVU
TAFITI kutoka nchi nyingi duniani zimebaini kwamba tohara kwa wanaume inapunguza maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) kwa asilimia 60 kwa wanaume na asilimia 44 kwa wanawake. Pia imebaini kwamba...