Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watakiwa kuendelea kujihadhari na ebola

Serikali imewataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa ebola ambao bado unaendelea kuzikumba nchi za Afrika Magharibi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wanahabari Rukwa watakiwa kuwa makini kujikinga na Corona ili kuendelea kuihabarisha jamii


Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Rukwa Izrael Mwaisaka (Kushoto)akipokea bahasha zilizowekwa barakoa kwaajili ya Waandishi waliohudhuria semina ya Waandishi wa Habari katika Ofisi ya mkuu wa mkoa kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa Bernard Malaki (kulia) ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Mkoa huo kutoa vifaa vya kujikinga kwa Waandishi.

Mkuu wa mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo (waliokaa katikati) katika picha ya pamoja na baadhi ya Waandishi wa habari Mkoa wa Rukwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Mashabiki watakiwa kuwa na subra

Mlinzi wa Ivory Coast Kolo Toure amewataka mashabiki katika michuano ya mataifa ya Afrika nchini Equitorial Guinea kuwa na Subra

 

10 years ago

Ykileo

TU UFUNGE MWAKA KWA KUJIHADHARI NA UHALIFU MTANDAO

Mwaka 2014 Umekua Wenye changamoto nyingi sana kwenye upade wa mitandao ambapo wahalifu mtandao walifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuitikisa anga ya usalama mitandao duniani kote ambapo walifikia kutamba kuwa wameshinda mapambano na wanausalama mitandao.


Kubwa zaidi ni uelewa mdogo wa watumiaji mtandao juu ya kujiweka salama kimtandao iliyo ambatana na wana usalama mitandao kuwa wachache sana katika ngazi ya kidunia huku baadhi ya mataifa kutotoa kipaumbele katika maswala ya usalama...

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI RUKWA WAAZIMIA KUPUNGUZA MUDA WA IBADA KUJIHADHARI NA CORONA


Mganga Mkuu wa mkoa wa Rukwa Dkt. Boniface Kasululu akitoa Elimu ya Ugonjwa wa Corona (Covid -19) Kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini (Hawapo pichani).


Mchungaji Byanosisi Mwikole wa kanisa la Monravian akichangia mada katika kikao cha viongozi wa dini kilichoitishwa na mkuu wa mkoa wa Rukwa ili kupewa elimu juu ya namna ya kuepukana na Ugonjwa wa Corona (Covid -19)

Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wakisikiliza kwa makini elimu wanayopatiwa juu ya namna ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO

 Na Said Mwishehe,Michuzi TV

KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19

Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani