Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania waamshwa

WATANZANIA wameelezwa kwamba wataendelea kuwa masikini kwa mika yote endapo hawataamka na kufuatilia upatikanaji wa rasilimali fedha na matumizi yake katika maeneo yao. Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na mratibu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wanaume waamshwa usiku kutafuta maji

WANAWAKE wa Kijiji cha Michese kata ya Mkonze Manispaa ya Dodoma wamelalamikia tatizo la maji ambalo linawafanya kila siku kuwaamsha wanaume wao usiku wa manane kuwasindikiza kusaka maji.

 

10 years ago

Vijimambo

WATANZANIA LAZIMA TUWE MAKINI NA MATAJIRI WA NCHI HII KWA MUSTAKABALI WA TAIFA LETU NA USTAWI WA WATANZANIA MASKINI

Ni wazi kwamba ningependa siku moja watanzania waweze kujua ukweli wa nini kinafanywa na matajiri wa nchi hii.Matajiri waliojaa  ulafi wa kunufaika na rasilimali za nchi hii kwa manufaa yao na familia zao ukijumlisha wapambe wao na washirika wa ndani na nje ya nchi hii ya Tanzania. Ni katika vita hii ndio inayopelekea serekali yetu kuyumba na kuyumbishwa (STATE TO BE CAPTURED) na hawa matajiri pale wanapopigania maslahi yao na kudiriki kutumia utajiri wao na umiliki wao wa vyombo kama vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani