Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

IMG-20140806-WA0003Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha zote kwa Hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa) IMG-20140806-WA0001Banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa lililopo katika viwanja vya Ngongo, vilivyopo nje kidogo ya mji wa Lindi mkoani Lindi. IMG-20140806-WA0002 Wageni mbalimbali wakipata maelezo kutoka kwa maafisa wa shirika la nyumba la taifaIMG-20140806-WA0000 Afisa Mauzo, Deogratius...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA NHC NANENANE KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI‏

Afisa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii wa NHC, Bi. Edith Nguruwe (katikati) akimuelekeza mwananchi aliyetembelea banda la NHC, kujaza dodoso la kufahamu uwezo na mahitaji ya nyumba kwa wananchi. (Picha zote kwa Hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa)…

 

11 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.  Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo alipotembelea banda la Mfuko wa Pensheni wa PPF katika Maonyesho ya 38 ya Biashara...

 

11 years ago

GPL

WATANZANIA WAENDELEA KUMIMINIKA KATIKA BANDA LA PPF SABASABA KUJIPATIA HUDUMA MBALIMBALI‏

 Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya (kulia) akimpatia maelezo ya Huduma mbalimbali mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakati alipotembelea Banda la PPF katika Viwanja vya Mwl Nyerere maarufu kama Sabasaba.
 Mkazi wa Jiji la Dar Es Salaam akipatiwa maelezo juu ya huduma ya Fao la Kujitoa kutoka kwa afisa uendeshaji wa Mfuko wa PPF kanda ya Ziwa, Bi Grace Balele wakati mteja huyo...

 

10 years ago

Vijimambo

MSD YAWAVUTA WANANCHI KATIKA BANDA LAO MAONYESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA MKOANI DODOMA


Wananchi wakisubiri kupata huduma katika banda la MSD kwenye Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea mkoani Dodoma.
Ofisa Mdhibiti Ubora wa MSD, Betia Kaema, akitoa dawa kwa mgonjwa aliyefika katika banda la MSD kwenye maonyesho hayo.
Ofisa Huduma kwa Wateja Kanda ya Dodoma, Sara Wangilisasi akitoa dawa kwa mgonjwa aliyefika kwenye banda la MSD kwenye maonyesho hayo.
Ofisa Mauzo, Juliana Mbogo na Ofisa Udhibiti Ubora, Betia Kaema wakiandaa dawa za kumpatia mgonjwa aliyefika katika banda la MSD.Na...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA YANAYOENDELEA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA JIJINI DAR

Afisa Tawala, Idara ya Wakimbizi, Jeremia Chuma akitoa maelezo kwa Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha, kuhusu huduma zinazotolewa kwa wakimbizi nchini, wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja,Dar es Salaam. Kamishna wa Uhamiaji (Sheria), Said Kamugisha , akisaini kitabu alipowasili katika banda la Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi kushiriki katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja,...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA KATIKA MAADHIMISHO YA NANENANE NYANDA ZA JUU KUSINI JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Adam Misana alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya hiyo leo tarehe 02/08/2014 katika maonyesho ya wakulima Nanenane nyanda za juu kusini Jijini Mbeya ambapo alipokelewa na viongozi waandamizi wa Serikali ya Mkoa wa Rukwa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya (Pichani Kulia).

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo...

 

10 years ago

Vijimambo

Wananchi wazidi kumiminika Banda la Mambo ya Nje Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma

Afisa kutoka Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Bi. Asiya Hamdani akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa Wananchi waliokuja kutembelea Banda la Wizara lililopo katika Maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam. Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni "Utumishi wa Umma katika Bara la Afrika ni Chachu ya Kuwawezesha Wanawake, Kuongeza Ubunifu na Kuboresha Utoaji Huduma Kwa Umma". Afisa...

 

10 years ago

Michuzi

WATIA NIA CCM WAENDELEA NA ZIARA YA KUJITAMBULISHA KATIKA KATA MBALIMBALI JIMBO LA ARUSHA MJIN

SAM_4061Mtia nia ya ubunge kwa CCM Philemon Mollel akizungumza katika mkutano wa kujinadi mbele ya wana CCM wa kata ya Sinoni jijini Arusha ili kuomba ridhaa yakuteuliwa na chama chake kuwania ubunge wa jimbo la Arusha katika uchaguzi wa mwezi Oktoba Mwaka huu.(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog).SAM_4098Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ya ubunge wa jimbo la Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele ya wanachama wa chama hicho katika kata ya Sakina jijini...

 

11 years ago

Michuzi

PPF WAENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKATI KATIKA MAONYESHO YA 38 YA SABASABA

 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson akitoa ufafanuzi juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko wa Pensheni wa PPF kwa wateja waliotembelea Banda la PPF kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea Kufanyika katika viwanja hivyo. Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) akimuhudumia mmoja wa wateja waliotembelea banda la PPF katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea Katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani