Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wameaswa kuendeleza Amani iliyopo

pix 1

Maandamano ya waislam wakiingia katika viwanja vya Karimjee katika siku ya Maulid iliyofanyika kitaifa Jijini Dar es salaam. pix 1a Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam saidi Meck Sadiq akiwasili katika viwanja vya Karimjee katika Baraza la Maulid. pix 3 Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed Salim akisalimia na wageni mbalimbali alipokuwa akiwasili katika viwanja vya karimjee katika Baraza la Maulid. pix 4 Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akiwasili katika Viwanja vya Karimjee katika Baraza la Maulid. pix 5

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Watanzania watakiwa kuendeleza amani

 

WATANZANIA wametakiwa kuutumia mwaka mpya wa 2016 kuendeleza Sifa na Historia njema ya Tanzania katika kulinda na kudumisha amani iliyopo.

Kanisa la Tanzania Assemblies of God, TAG, mkoa wa Mbeya limesema kuingia mwaka mpya siyo sababu kwa Watanzania kuacha utamaduni wao wa kudumisha amani bali wanapaswa kuiendeleza sifa hiyo iliyoijengea Tanzania heshima Kimataifa.

Ushauri huo umetolewa na Mchungaji Kiongozi wa kanisa la TAG mkoa wa Mbeya, Addison Mwaijunga, wakati wa ibada maalum ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari

001

Mkurugenzi wa Usalama wa Mazingira Majini Bw. Tumpe Mwaijande kutoka Wizara ya Uchukuzi kwaniaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Shaaban Mwinjaka akiongea na wajumbe wa Umoja wanawake walio katika Sekta ya masuala ya Bahari Mashariki na Kusini mwa Afrika (WOMESA) wakati wa ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaofanyika jijini Dar es salaam.

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO

Wanawake wameaswa kutumia fursa iliyopo katika sekta ya bahari kwa kupata elimu na mafunzo ya sekta hiyo ambayo ni msingi...

 

10 years ago

Michuzi

WATANZANIA WAMEASWA KUHIFADHI MAZINGIRA.

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akifungua Mkutano wa wadau wa mazingira unaohusu Miradi ya majaribio nchini wa Mkakati wa Kupunguza Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI) leo jijini Dar es salaam.  Kiongozi wa wawezeshaji kutoka Asasi isiyo ya kiserikali ya Niras kutoka Finland inayosimamia Miradi ya majaribio nchini wa Mkakati wa Kupunguza Uharibifu wa Misitu (MKUHUMI) Merja Makela akitoa mada wakati wa mkutano wa wadau wa mazingira kuhusu namna bora ya kuhifadhi mazingira na...

 

10 years ago

Habarileo

Ni wajibu kukumbatia amani iliyopo-Askofu

Askofu wa Kanisa la Endtime Harvest, Dk Eliah MauzaWATANZANIA wametakiwa kuilinda na kuikumbatia amani kutokana na vitendo vya kigaidi na mauaji ya kutisha.

 

9 years ago

Vijimambo

UN NA SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO NCHINI

IMG_0482
Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Nyanza jijini Mwanza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani ambapo kitaifa yamefanyika jijini humo na kuandaliwa na Baraza la Dini mbalimbali la Amani Tanzania...

 

9 years ago

Dewji Blog

UN na Serikali ya Tanzania kuendelea kudumisha amani iliyopo nchini

IMG_0482

Mgeni rasmi Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues (wa pili kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Vilabu vya Waandishi wa Habari (UTPC), Abubakar Karsan mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Nyanza jijini Mwanza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Amani  ambapo kitaifa yamefanyika jijini humo na kuandaliwa na Baraza la Dini mbalimbali la Amani...

 

9 years ago

GPL

UN NA SERIKALI YA TANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO NCHINI‏

Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Baraka Konisaga akisoma hotuba kwa niaba ya Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo kwenye maadhimsho ya siku ya kimataifa ya Amani Duniani ambapo kitaifa imefanyika jijini Mwanza. Mkuu wa Ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Zulmira Rodrigues akitoa ujumbe maalum kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Unesco, Irina Bokova kwenye...

 

9 years ago

StarTV

Samia awahimiza wananchi kuendeleza amani

Mgombea mwenza wa kiti cha Urais wa Chama cha mapinduzi CCM Samia Suluhu amewaomba wananchii kote nchini kuhakikisha wanatoa taarifa katika vyombo vya usalama pindi wanapoona  wageni wasiokuwa na taarifa zao katika kuelekea katika uchaguzi mkuu.

Samia ameyasema hayo alipokuwa akimaliza ziara yake ya kuomba kura pamoja na kunadi ilani ya uchaguzi ya chama hicho katika mkoa wa simiyu katika wilaya ya Maswa.

Katika kiwanja cha nguzo nane wilaya ya maswa baadhi ya wananchii wanakusanyika kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani