Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATATU WANUSURIKA AJALINI LUGALO, DAR

Kioo cha lori cha  mbele kikiwa kimepasuka.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Lembeli, Mukya wanusurika ajalini, wagombea watatu mbaroni

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kahama (Chadema), James Lembeli na aliyekuwa mbunge wa Viti Maalumu wa chama hicho, Joyce Mukya wamenusurika katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Terart wilayani Simanjiro.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Dar

WATU watatu wameripotiwa kufariki dunia katika matukio tofauti, akiwamo mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Pius Msekwa, Salumu Omar (6) aliyegongwa na gari. Kamanda wa Polisi Mkoa...

 

10 years ago

GPL

WATU WATATU WANUSURIKA KUFA KWA AJALI DAR

Mchina aliyekuwamo kwenye gari akizungumza kwa simu, pembeni yake ni askari wa usalama barabarani. Dereva wa Opa ambaye hakufahamika jina lake mara moja.…

 

10 years ago

GPL

WATU WATANO WANUSURIKA KIFO AJALINI MWANZA

Muonekano wa mbele wa gari hilo lililopata ajali. Muonekano wa chini ya gari baada ya kupinduka.…

 

11 years ago

Habarileo

Wanafunzi vyuo vikuu Z’bar wanusurika ajalini

WANAFUNZI wa Vyuo Vikuu vya Zanzibar leo wamenusurika kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupinduka wakati wakitoka katika michezo katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

 

11 years ago

GPL

GHARIB BILAL, KOVA, SADICK WANUSURIKA KIFO AJALINI

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafa ajalini Same

WATU watatu wamekufa papo hapo katika matukio mawili tofauti ya ajali ya gari wilayani Same Kilimanjaro likiwemo la mwendesha pikipiki anayekadiriwa kuwa na miaka 20-25 kugongwa na gari la mizigo....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Watatu wafariki ajalini Pwani

WATU watatu wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya ajali iliyohusisha gari la abiria na lori katika eneo la Pera Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani. Tukio hilo lilitokea usiku...

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wafa ajalini Moshi

Watu watatu wamefariki dunia papohapo baada ya kugongwa na basi la Kampuni ya BM Coach, lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Arusha eneo la Gezaulole, wilayani Hai.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani