Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watawa waachiliwa huru Syria

Imethibitishwa kuwa waasi nchini Syria wamewaachilia huru watawa 13 na wafanyikazi 3 wa nyumbani waliotekwa nyara mwaka jana

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mateka wa Sweden waachiliwa huru Syria

Sweden wanasema kuwa raia wake wawili ambao walikuwa wakishikiliwa mateka nchini Syria wameachiliwa huru kupitia usaidizi wa Palestina na Jordan

 

11 years ago

BBCSwahili

Waandishi waachiliwa Syria na wapiganaji

Mwandishi wa habari na mpiga picha wanaofanya kazi na gazeti la Times wameachiliwa Syria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mateka 49 wa Uturuki waachiliwa huru

Waziri mkuu nchini Uturuki amesema kuwa mateka 49 ambao walikuwa wametekwa na kundi la Islamic state wameachiliwa huru.

 

10 years ago

BBCSwahili

Waandishi Ethiopia waachiliwa huru

Waandishi 3 Ethiopia na wanablogu waliokuwa wakizuiwa gerezani kwa tuhuma za kigaidi wameachiliwa huru

 

9 years ago

BBCSwahili

Waandamanaji waachiliwa huru Burundi

Takriban watu 100 waliokamatwa kwa makosa ya kuandamana kupinga muhula wa tatu wa rais Nkurunzinza wameachiliwa huru

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasaidizi waachiliwa huru Darfur

Wafanyakazi wa shirika la misaada Darfur waachiliwa huru baada ya mwezi mmoja

 

9 years ago

BBCSwahili

Ghasia:Watu 75 waachiliwa huru Burundi

Mahakama nchini Burundi imetangaza kuachiliwa huru kwa watu 75 kati ya zaidi ya watu 250 waliozuiliwa kuhusiana na ghasia zinazoendelea nchini humo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wasichana wachache waachiliwa huru Borno

Baadhi ya wasichana wa shule waliotekwa nyara Borno, Nigeria, waachiliwa huru lakini wengi bado wako kizuizini

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto wa Hosni Mubarak waachiliwa huru

Wana wawili wa aliyekuwa Rais wa Misri Hosni Mubarak wameachiliwa kutoka jela, miaka minne baada ya kukamatwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani