WaterAid Tanzania, Singpress kushirikiana mradi wa Mwanzo mwema
Mwakilishi wa shirika la WaterAid Tanzania, Ibrahimu Kabole, akitoa ufafanuzi juu ya mradi wa ‘Mwanzo Mwema’ (A Good Start) ambao pamoja na mambo mengine, utashughulikia afya ya uzazi kwa akina mama wajawazito. Mradi huo unafadhiliwa na serikali ya Sweden.Kulia ni balozi wa Sweden hapa nchini, Lennarth Hjelmaker.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
SHIRIKA lisilo la kiserikali la WaterAid Tanzania,limeahidi kushirikiana na klabu ya waandishi wa habari (Singpress) mkoa wa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
Waswidi watoa bilioni 1.4 kugharamia mradi wa Mwanzo mwema
Balozi wa Sweden nchini, Mh. Lennarth Hjelmaker, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa mradi wa ‘Mwanzo Mwema’ (A Good Start) unaofadhiliwa na nchi yake kwa zaidi ya shilingi bilioni 1.4.Pamoja na mambo mengine, balozi huyo ameahidi nchi yake itaendelea kushirikana na Tanzania katika kuboresha sekta mbalimbali ikiwemo ya afya.
Mwakilishi wa shirika la WaterAid Tanzania, Ibrahimu Kabole, akitoa ufafanuzi juu ya mradi wa ‘Mwanzo Mwema’ (A Good Start) ambao pamoja na mambo...
10 years ago
VijimamboMRADI WA UJIRANI MWEMA ULIOTOLEWA NA HIFADHI ZA TAIFA TANZANIA (TANAPA)
10 years ago
MichuziHIFADHI ZA TAIFA TANZANIA(TANAPA) KUPITIA UJIRANI MWEMA WAKABIDHI MRADI WA MAJI KATIKA KIJIJI CHA ASHIRA WILAYA YA MOSHI
10 years ago
Dewji Blog03 Jun
Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kupitia ujirani mwema wakabidhi mradi wa maji katika kijiji cha Ashira wilaya ya Moshi
10 years ago
Dewji Blog20 Aug
WaterAid yawajengea uwezo wadau wa afya ya ulezi na uzazi
Nathaniel Limu, Singida
VITENDO...
10 years ago
MichuziTanzania yaendelea kunufaika na uhusiano mwema ulipo baina yake na Taifa la China.
10 years ago
Michuzi10 years ago
MichuziVETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA
Mradi huo uliopo kwenye majaribio tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011 kwa ushirikiano kati ya Hamburg Chamber of Skills Craft ya Ujerumani na VETA,unalenga kuandaa idadi kubwa ya mafundi stadi wenye ujuzi zaidi kwa vitendo kwa...
10 years ago
GPLVETA YAKUTANA NA WADAU WA VIWANDA VYA UMEME NA MAGARI KUJADILI KUHUSU MRADI WA MAFUNZO YANAYOTOLEWA NA VETA KWA KUSHIRIKIANA NA VIWANDA