Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu 3 wauawa katika shambulio Colorado

Watu 3 wameuawa baada ya kupigwa risasi na mtu mmoja aliyevamia kituo cha kupanga uzazi katika eneo la Colorado Springs nchini Marekani.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Watu 9 wauawa katika shambulio Marekani

Polisi nchini Marekani wamesema kuwa watu tisa wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki katika mkahawa mmoja katika mji wa Waco.

Hata hivyo watu wengine 18 walipelekwa hospitali kupatiwa matibabu kutokana shambulio hilo.

 

Maofisa katika mji huo wanasema kuwa walibaini mkusanyiko kati ya watu watano walioonekana kupanga jambo lisilo la kawaida.

 

Watu waliokuwa katika mkahawa huo walijificha katika chumba cha majokofu katika harakati za...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watu 11 wauawa katika shambulio Ufaransa

Watu 11 wamepoteza maisha baada ya kushambuliwa katika Ofisi ya Gazeti jijini Paris nchini Ufaransa

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu 27 wauawa shambulio la mabomu Chad

Watu 27 wamefariki na wengine kadha kujeruhiwa baada ya washambuliaji wa kujitoa mhanga kujilipua katika kisiwa kilichoko katika Ziwa Chad.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watu kadha wauawa shambulio Mogadishu

Watu kadha wameuawa kwenye shambulio la bomu na risasi mjini Mogadishu.

 

10 years ago

BBCSwahili

9 wauawa katika shambulio Marekani

Polisi nchini Marekani wamesema kuwa watu tisa wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na watu wenye silaha na pikipiki.

 

10 years ago

BBCSwahili

11 wauawa katika shambulio Mandera,Kenya

Watu 11 wameuawa katika shambulio jijini Mandera kaskazini mashariki mwa Kenya. shambulio hilo liliwalenga wageni katika eneo hilo

 

10 years ago

BBCSwahili

2 wauawa katika shambulio jipya Marekani

Saa chache baada ya rais Obama kulalamikia mauaji yanayofanywa kutumia silaha nchini Marekani, 2 wameuawa katika shambulio jipya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Watatu wauawa katika shambulio la kambi ya UN

Watu 3 wamefariki katika shambulio la roketi katika kambi moja ya vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kaskazini mwa Mali,Umoja wa mataifa umesema.

 

10 years ago

GPL

TISA WAUAWA KATIKA SHAMBULIO MAREKANI

Eneo ambapo shambulio hilo limefanyika. Migahawa ikiwa imefungwa baada ya tukio hilo kutokea. Polisi akiangalia hali ya usalama katika eneo hilo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani