watu ishirini wafariki dunia Nigeria
Watu ishirini wamefariki dunia kutokana na shambulio la kujitoa muhanga katika soko la wachuuzi wa samaki,Nigeria.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Watu 19 wafariki dunia kwa kipindupindu
Na Benjamin Masese, Mwanza
SERIKALI imesema watu 631 mkoani Mwanza wameugua ugonjwa wa kipindupindu kati ya Januari hadi Desemba 15, mwaka huu ambapo kati yao 19 wamefariki dunia.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo wakati akizungumza na madiwani pamoja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu wiki iliyopita.
Wakati Mulongo akitoa takwimu hizo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Lwakyendera Onesmo aliliambia MTANZNAIA jana kwamba wagonjwa wapya wameendelea...
10 years ago
BBCSwahili07 Mar
Watu 10 wafariki katika milipuko Nigeria
9 years ago
StarTV03 Nov
Watu wawili wafariki dunia kwa mafuriko
Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kupoteza mali zenye thamani jijini Mwanza kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha majira ya saa kumi na mbili alfajiri ya leo.
Waliopoteza maisha ni pamoja na aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akiwahi shule kwa ajili ya kufanya mtihani wake wa mwisho na mmoja wa waendesha pikipiki aliyekuwa akiwawahisha wanafunzi wengine wa kidato cha nne kufanya mtihani wao wa mwisho.
Majira ya saa tatu asubuhi jijini Mwanza...
10 years ago
CloudsFM10 Oct
WATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUTEKETEZWA NA MOTO
Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.
Polisi wameeleza kuwa tayari watu 17 wamekamatwa kwa kuhusika kwenye tukio hilo.
Miongoni mwa waliouawa katika tukio hilo lililotokea Jumatatu iliyopita ni John Mavumba (68) na mkewe Elizabeth Kaje 55 ambao pamoja na wenzao walikuwa wakituhumiwa kuwa ni washirikina.
Akizungumza na...
10 years ago
CloudsFM08 Jan
Watu Watano wafariki dunia wakipeleka mjamzito hospitali
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alisema kuwa watu hao walikuwa wakimpeleka mgonjwa hospitali.
Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 5 mwaka huu majira ya saa 6:30 mchana huko eneo la Fukayosi Tarafa ya Msata wilaya ya Bagamoyo.
Alisema kuwa ajali hiyo ilihusisha gari namba T 252 DCB aina...
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Watu watatu wafariki dunia matukio tofauti Iringa
9 years ago
StarTV05 Jan
Watu 8 wafariki Dunia katika matukioa tofauti Dodoma.
Watu nane wamefariki dunia katika matukio tofauti ambapo kati yao sita wa Familia moja katika eneo la Kibaigwa Panda Mbili Dodoma kufatia gari walilokuwa wakisafilia lenye namba za usajili T 516 DEP kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha maeneo ya kiteto.
Aidha Mmoja kati yawaliofariki ni msaidizi wa Mkuu wa jeshi la Polisi nchini afisa Mkaguzi wa Polisi Inspeta Gerald Ryoba ambaye alikuwa akitoka mkoani Geita kuelekea jijini Dar es salaam akiwa na familia yake...
11 years ago
Dewji Blog12 Jun
Watu wanne wafariki dunia katika matukio tofauti
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela.
Na Nathaniel Limu, Singida
WATU Wanne mkoani Singida wamefariki dunia katika matukio tofauti,likiwemo la wanandoa wawili kuuawa na kisha nyumba yao kuchomwa moto na wao kuteketea pamoja na mali zao.
Wanandoa hao ni Ramadhani Lyanga (80) na mke wake Aziza Ally (60) wakazi wa kitongoji cha Kizega kijiji cha New Kiomboi tarafa ya Kisiriri wilaya ya Iramba.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Singida, SACP Geofrey Kamwela amesema...
5 years ago
CCM BlogCORONA MAREKANI NDANI YA MASAA 24 WATU 4591 WAFARIKI DUNIA
Aidha taarifa mpya iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins imesema kuwa katika kipindi cha masaa 24 yaliyopita karibu watu elfu 30 wengine wameambukizwa virusi vya Corona nchini humo.