Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watu kumi wamepoteza maisha Korea kusini

Watu kumi wamepoteza maisha na zaidi ya 100 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na jengo nchini Korea kusini

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Watu 172 wamepoteza maisha barani Afrika

Kituo cha udhibiti na kuzuia magonjwa vya Umoja wa Afrika kimesema kuwa watu 172 wamepoteza maisha baada ya kuambukizwa virusi vya Covid-19 barani Afrika.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mafuriko Dar:Watu kumi wapoteza maisha

Watu kumi wamepoteza maisha kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dar es Salaam

 

11 years ago

BBCSwahili

Watu 113 wathibitishwa kufariki Korea Kusini

Wapiga mbizi wamepata miili zaidi ndani ya Feri iliyozama wiki jana nchini Korea Kusini na kufikisha 113 idadi ya watu waliofariki katika ajali hiyo

 

9 years ago

Michuzi

WATU ZAIDI YA KUMI WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA KUFUATIA AJALI YA LORI KUPINDUKA WILAYANI LUSHOTO

Watu zaidi ya 10 wahofiwa kufariki Dunia eneo la Soni, Lushoto Mkoani Tanga kufuatia ajali ya Fuso iliyotokea kwenye Maulidi kuanguka nakubiringika bondeni. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana mpaka sasa. sehemu ya umati wa watu waliofika kushuhudia tukio la ajali hiyo iliyotokea Soni,Lushoto mkoani Tanga Baadhi ya mashuhuda wakitazama Lori hilo lililopelekea vifo vya watu zaidi ya kumi baada ya kupinduka na kubiringika bondeni,huko Soni,Lushoto mkoani Tanga

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona Korea Kusini: Wasiwasi wa wimbi la pili baada ya watu karibia 100 kudaiwa kuambukizwa

Alisifiwa kwa hatua za haraka na madhubuti alizochukua kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona na katika kipindi cha muda mfupi alifanikiwa kupunguza maambukizi mapya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini: Je nini kilichosababisha kulipulia kwa afisi ya mawasiliano na Korea Kusini?

Experts' views on why North Korea has chosen to provoke the South by destroying the liaison office.

 

5 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini na Korea Kusini zafyatuliana risasi baada ya Kim Jong-un kuonekana hadharani

Korea Kusini imesema risasi zimefyatuliwa kwenye mpaka wao, siku moja baada ya Kiongozi wa Korea Kaskazini kuoneakana hadharana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Korea Kaskazini yaitishia Korea Kusini

Korea kusini inasema kuwa korea kaskazini imepeleka silaha kwenda kwa mpaka baada ya kutoa vitisho vya kuishambulia

 

9 years ago

Bongo5

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe afariki dunia kwa ajali ya helikopta, abiria wote wamepoteza maisha

Mbunge wa jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa akiitumia kwaajili ya kampeni kupata ajali. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa ambaye pia amempoteza baba yake kwenye ajali hiyo. “Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa rasmi kutoka kwa timu ya uokoaji imefanikiwa kufika eneo la […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani