Watuhumiwa ugaidi wachafua hali ya hewa kortini
Watuhumiwa wa kesi ya ugaidi, akiwamo Sheikh Farid Hadi Ahmed (kushoto), wakitoka kwenye chumba cha mahakama baada ya kesi yao kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Picha na Jumanne Juma
NA KULWA MZEE, DAR ES SALAAM
KIONGOZI wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI), Sheikh Farid Hadi Ahmed (43), ametoa shutuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi akidai kuwa limewafanyia ukatili kwa kuwapiga, hali inayowafanya baadhi yao wajisaidie damu.
Sheikh...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
WEMA, DIAMOND WACHAFUA HALI YA HEWA
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mtikila, Mkosamali wachafua hali ya hewa
MWENYEKITI wa chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila na Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali (NCCR Mageuzi) ‘wamechafua hali ya hewa bungeni’ wakilalamikia kutopewa nafasi ya kuchangia azimio la kupitisha rasimu ya kanuni ya kuliongoza bunge hilo Maalum la Katiba.
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
Shilole na Mchumba Wake Nuh Mziwanda Wachafua Hali ya Hewa Mtandaoni!!
Mwigizaji na mwanamziki, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambae ni mama wa watoto wawili wa kike , akiwa na mchumba wake Nuh wamechafua hali ya hewa baada ya kutupia picha yao inayowaonyesha wakiwa watupu.
Nuh Mziwanda ndio alioibandika picha hiyo kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa instagram na baada ya kuona wengi wanamshabulia aliamua kuibandua. Kwa kiufupi picha hii haina maadili na ukizingatia mwanadada Shilole ni mama na sijui watoto wake watajifunza nini hapa.
Wapo walioona kuwa kitendo...
10 years ago
Vijimambo
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI

10 years ago
Michuzi.jpg)
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMA) NA OFISI YA HALI YA HEWA YA UINGEREZA (UK MET OFFICE) WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO (MoU) YA USHIRIKIANO KATIKA KUBORESHA HUDUMA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Akizungumzia makubaliano hayo Dkt Agnes Kijazi alisema Mamlaka ya Hali ya Hewa ililiomba Shirika la Hali ya Hewa Duniani kuisaidia TMA kuboresha huduma zake ili ziwe za kisasa...
10 years ago
Habarileo21 May
Watuhumiwa 25 wa ugaidi kortini Moro
WATU 25 wanaotuhumiwa kwa vitendo vya ugaidi katika Tarafa ya Kidatu wilayani Kilombero mkoa wa Morogoro, wamepandishwa kizimbani.
10 years ago
Mtanzania10 Mar
Watuhumiwa wawili wa ugaidi kortini Dar
Waandishi Wetu, Dar na Tanga
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakidaiwa kutoa mafunzo ya ugaidi kwa vijana wa Tanzania mkoani Tanga.
Mmoja wao anaelezwa kuwa alikuwa pia akitoa mafunzo ya jeshi kwa kundi la Hizbul al lililotaka kuipindua serikali ya Somalia mwaka 2010.
Washtakiwa hao, Ally Nassoro au Dk. Sule na Juma Zuberi au Kitambi, walifikishwa jana katika mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi, Hellen Riwa.
Wakili wa Serikali Mwandamizi, Peter Njike akisoma...
5 years ago
Michuzi
5 years ago
Michuzi
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa msimu wa kipupwe nchini.

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa rasmi mwelekeo wa hali ya hewa wa msimu wa kipupwe nchini, kwa Mwezi Juni hadi Agosti 2020 na kusema kuwa mwaka huu kutakuwa na vipindi vya upepo mkali wa kusi na hali ya ukavu katika maeneo mengi ya nchini.
Pia mamlaka imesema, vipindi vya baridi kali vinatarajiwa kuwepo katika msimu huu katika maeneo ya miinuko ya nyanda za juu kusini magharibi hususan nyakati za usiku na na asubuhi.
Akizungumzia msimu huo,...