Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watumia michezo katika kuhamasisha upimaji VVU

Tangu ugonjwa wa Ukimwi ulipoingia nchini karibu miaka 30 iliyopita, bado umeendelea kuwa tishio kwa kukosa tiba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WANABIAFRA WASHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA MRADI WA KUHAMASISHA MICHEZO KWA VIJANA NA WATOTO

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) chini ya udhamini wa taasisi ya UK Sports - Internationa Inspiration iliandaa mafunzo uhamasishaji wa michezo kwa vijana na watoto. Mafunzo hayo yaliyofanyika katika uwanja wa taifa yaliwakutanisha pamoja makatibu tawala pamoja na maafisa michezo toka katika wilaya zote nchini. Mafunzo hayo pia yalifanyika ikiwa ni sehemu ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wa baraza la Michezo Tanzania uliofanyika katika uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Jerry Silaa ahimiza upimaji wa VVU

HIV_47

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa jana amehudhuria maadhimisho ya siku ya UKIMWI  iliyoadhimishwa na manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti ambapo ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.

HIV_11

HIV_20

Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizungumza na mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji wa VVU wakati wa maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani.

HIV_23

Mtoa huduma ya ushauri nasaha na upimaji...

 

10 years ago

GPL

KAHAMA FAMILY BONANZA 2014 KUHAMASISHA UPIMAJI WA HIARI

Mjumbe  wa KF,Mary Zakaria kulia, Mwenyekiti Sweetbert Nkuba (anayezungumza), na  Katibu,  Daudi Ng’osha wakiwa kwenye kikao. Mwenyekiti wa Kahama Family, Sweetbert akiwa na daudi.…

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

10 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola yakaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow

Waogeleaji wa Tanzania Mariam Foum, Hilal Hemed na Ammaar Ghadiyali wakiwa tayari kwa michuano jijini Glasgow. Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo katika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.Timu ya Tanzania kwenye michezo ya Jumuiya ya Madola imekaribishwa rasmi leo kayika kijiji maalum cha michezo hiyo Glasgow,  Uskochi.

 

10 years ago

Vijimambo

MBUNGE NASSAR ATUMIA HELKOPTA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI.

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akisalimiana na rubani wa Helkopta wakati anaanza ziara ya kuhamaisha zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa BVR.Mbunge Nassar akifunga mikanda tayari kwa kuanza ziara.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Jshua Nassar akizungumza na wananchi katika kata ya Shambarai Burka wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika kata hiyo kuhasisha wananchi kujitokeza kujiandikisha katika daftarai la...

 

9 years ago

BBCSwahili

Al-Shabab watumia Trump katika video

Kundi la wapiganaji wa Kiislamu la al-Shabab kutoka Somalia limetoa kanda ya video ya propaganda ambapo wanamtaja mgombea urais wa Marekani Donald Trump.

 

10 years ago

Michuzi

WARSHA KATIKA HOTEL YA GOLD CREST JIJINI MWANZA KWA AJILI KUHAMASISHA NA KUJENGA UWEZO WA KUJUMUISHA MASUALA YA VIJANA KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO YA MKOA NA WILAYA

Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu (UNFPA) Tanzania, wameandaa warsha ya kuhamasisha na kujenga uwezo kwa watumishi wa Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhusu kujumuisha masuala ya vijana katika mipango ya Mkoa na wilaya.
Warsha hiyo inafanyika katika vituo vya Mwanza na Musoma. Katika kituo cha Mwanza warsha inafanyika tarehe 8 na 9 Juni 2015, kituo ambacho kinajumuisha Sekretarieti ya Mkoa na Halmashauri za mikoa ya Mwanza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani