WAWEKEZAJI WA KIGENI WATUPIWE JICHO NA SHUGHULI ZAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-HZOfVghWnbg/VE28t0hfGAI/AAAAAAACtlk/IljGYGklnYY/s72-c/unnamed.jpg)
Je ! Huu ndio uwekezaji wenyewe ? Idara ya Uhamiaji mpo wapi ?
ah ! "MGENI WA MUNGU HUYU" mwache ajitafutie riziki !
Baadhi ya wawekezaji wa kigeni au pengine watumishi raia wa kigeni wamekuwa wakivunja sheria za nchi kwa kujiingiza au kufanya shughuli zisizo katika mikataba yao ya kazi,au nje ya vibali vyao vya kufanyakazi hapa nchini Tanzania,lakini uvunjwaji wa sheria za nchi unaofanywa na wageni hawa unasaidiwa na sisi wenyewe kwa kuzingatia zile mila zetu na misemo ya ah ! "MGENI...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Wawekezaji gesi watazamwe kwa jicho la pili
10 years ago
Mtanzania18 Apr
TPA yaonya shughuli zao kuingiliwa
Na Faraja Masinde, Dar es Salaam
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema ni kinyume cha sheria namba 17 ya Bandari ya mwaka 2004 kwa taasisi au mtu binafsi kuendeleza, kusimamia na kuendesha bandari yoyote nchini bila kibali chao.
Kauli hiyo imekuja huku kukiwa na taarifa za kupotosha kuwa shughuli za TPA katika eneo la Mwambani zitafanywa na Kampuni ya Mwambani Port and Railway Corridor Company (MWAPORC).
Taarifa hizo zilihusisha mradi huo na shughuli za MWAPORC kuwa TPA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-wu_jzvmv_pc/VUot_w-d03I/AAAAAAAAAYY/ofX1VHDlt0c/s72-c/DSC_0671.jpg)
WAFUGAJI WATAKIWA KUFANYA SHUGHULI ZAO KWA KUFUATA SHERIA-CCWT
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-P30WfcnebBY/VB9PHuEkugI/AAAAAAAARCw/4tZ8uMUwz60/s72-c/6.jpg)
KINANA ATAKA WAZAZI KUCHAGUA WATU WENYE SHUGHULI ZAO KUWA WAJUMBE WA KAMATI ZA SHULE
![](http://2.bp.blogspot.com/-P30WfcnebBY/VB9PHuEkugI/AAAAAAAARCw/4tZ8uMUwz60/s1600/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-HaCjpVafzr8/VB9PJtzQwTI/AAAAAAAARC4/9agjW_GxaJ0/s1600/8.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-DKj7VVYTGt4/VB9PMotG8SI/AAAAAAAARDA/jwob49EDL0Y/s1600/13.jpg)
9 years ago
Dewji Blog07 Oct
WASIMAMIZI WA UCHAGUZI SINGIDA: Watakiwa kusimamia shughuli zao kwa kuzingatia Haki,Uadilifu na kutopendela chama!
Mkuu wa wilaya ya Singida,Bwana Saidi Amanzi(aliyesimama) akifungua semina ya siku mbili kwa wasimamizi 42 kutoka jimbo la Singida kaskazini.(Picha zote na Jumbe Ismailly).
Na. Jumbe Ismailly
[SINGIDA] MKUU wa Wilaya ya Singida,Saidi Amanzi amewaagiza wasimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanakwenda kusimamia shughuli za uchaguzi kwa kuzingatia haki,uadilifu,bila upendeleo na kwa kutoegemea upande wowote.
Mkuu wa wilaya huyo alitoa agizo hilo kwenye ufunguzi wa semina ya siku...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s72-c/1.jpg)
WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI
![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s1600/1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-sA3u8b-h2eM/VBdI_nB-l5I/AAAAAAACrA4/BOK1KYazvMs/s1600/1.jpg)
WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s72-c/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI YA LIQUID TELECOM'S KUENDELEA KUZIUNGANISHA KIDIGITAL NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA ILI KUENDELEA NA SHUGHULI ZAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-k3cBIFaWRtk/XrmRF6RIO2I/AAAAAAALp1U/ZSFE1fd_lF4pWYDRRlKLk_aHxlSmFU45QCLcBGAsYHQ/s320/Liquid-Telecom-Gen-Z-report.jpg)
KAMPUNI ya Liquid Telecom's Afrika Mashariki imezihakikishia nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi zake kwa ukaribu na kawaida kupitia mgongo wake wa jumuiya ya nchi hizo katika mabadiliko yake ya kidigitali chini ya mwezi wa mmoja kutokana na janga la COVID- 19
Kwa mujibu wa kampuni imeeleza kuwa ndiyo inayoongoza katika mawasiliano na imewezesha wanachama wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kufanya kazi kwa ukaribu na kawaida licha ya...