Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wawili Geita, Bunda washinda kwenda Kombe la Dunia Brazil

MAWAKALA wawili wa Nyanza Bottlers Ltd, wamejishindia tiketi za kwenda kushuhudia ‘live’ Kombe la Fifa la Dunia nchini Brazil. Washindi hao ni Simon Charles kutoka Katoro, Geita na Salum Yahya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Siku za kwenda Brazil Kombe la Dunia zinahesabika

FIFA-World-Cup-2014-Brazil Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya aina ya mwisho kwa Brazil, tofauti na kujitangaza yenyewe...

 

11 years ago

Michuzi

TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akiwaeleza waandishi wa habari  jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa kuwapata washindi watano watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea Pipa inayoendeshwa na TBC kwa kushirikiana na makampuni ya Push Mobile Media Ltd na Star Times Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media...

 

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia brazil?

 Hapana. Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa kazi katika Idara ya Uhamiaji, kuwania nafasi takriban 70 zilizotangazwa 

 

11 years ago

Michuzi

wadau washuhudia kombe la dunia Brazil

 Hawa ni sehemu ya Wadau kadhaa wa Kitanzania walioko Brazil kushuhudia Kombe la dunia. Hapa ni katika mchezo wa ufunguzi kati ya Wenyeji Brazil na Croatia katika uwanja wa Arena Sao Paulo. Hongera wadau kwa kutuwakilisha!

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil

MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kitabia, Kombe la Dunia limerudi nyumbani Brazil

Karibu na Hoteli ya Nosso niliyofikia jijini São Paulo. Napanga foleni ya kulipia bidhaa zangu ndogo ndogo nilizonunua. Ni duka La Mchina. Sijiulizi amefikaje Sao Paulo. Tunajua kuwa Wachina wametapakaa dunia nzima. Mbele yangu amesimama msichana mrembo. Ana nywele maridadi. Mrefu wa kuvutia. Ana nywele za kuvutia. Matiti yake yamesimama vema. Anaonekana kuwa na ngozi laini. Amebeba bidhaa zake na analipa kwa Mchina. Rafiki yangu Mtanzania anayejulikana kwa jina La Tuli aliyeishi hapa kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Vijimambo vya Kombe la Dunia Brazil 2014

2014-FIFA-World-Cup-Brazil

Na Eleuteri Mangi-Maelezo

Mashindano ya soka kombe la dunia yanaendelea kunoga na kupamba moto nchini Brazil yakijumuisha jumla ya wachezaji 892 wanaoshiriki mashindano wa mpira wa miguu duniani maarufu “Fifa World Cup” ya mwaka 2014.

Mashindano hayo yamepambwa na majina ya mbalimbali ya wachezaji kutoka nchi zinzoshiriki kinyang’anyiro hicho kwa mwaka huu.

Kwa mujibu wa mtandao wa FIFA, wachezaji wenye majina yenye herufi “M” ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa katika michuano hiyo ambao...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mwalimu Mkenya katika kombe la dunia Brazil

Aden Marwa ameteuliwa kuwa miongoni mwa marefa watakaochezesha michuano ya kombe la dunia Beazil

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani