Wayne Rooney atakosa mechi muhimu za Man Utd
Mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney atakosa mechi ya nyumbani dhidi ya West Ham Jumamosi na pia mechi muhimu Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya dhidi ya Wolfbsurg kutokana na jeraha.
Rooney mwenye umri wa miaka 30 aliumia kataika mechi waliyotoka sare 1-1 ugenini na Leicester City wikendi iliyopita na atahitajika kusubiri muda zaidi kuchezea klabu hiyo mechi yake ya 500 kutokana na jeraha la kifundo cha mguu.
Louis van Gaal amesema tatizo hilo ni mbaya zaidi ya ilivyodhaniwa, United...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Rooney kukosa mechi muhimu Man Utd
11 years ago
KwanzaJamii13 Aug
Wayne Rooney named as Man Utd new captain
5 years ago
Irish Mirror09 Mar
Wayne Rooney 'compares Man Utd star Bruno Fernandes to Paul Scholes'
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Man Utd kumkosa Rooney mechi ya Uefa
9 years ago
BBCSwahili27 Oct
Man Utd kucheza mechi kwa heshima ya Rooney
9 years ago
MillardAyo24 Dec
Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United …
Bado hali sio nzuri ndani ya klabu ya Man United, haikatishi siku bila mitandao ya kijamii, magazeti na tovuti kujadili juu ya kibarua cha kocha wa sasa wa Man United Louis van Gaal, mengi yameandikwa na kwakuwa Uingereza ndio Ligi inayopendwa na vyombo vya habari vya nchi hiyo vina nguvu, basi usishangae kuona nakuletea stori nyingine […]
The post Kauli ya Wayne Rooney kuhusu ajira ya Louis van Gaal na walichoamua wachezaji wa Man United … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
BBCSwahili19 Jun
Je unamfahamu vyema Wayne Rooney?
10 years ago
BBCSwahili18 Feb
Wayne Rooney aomba radhi
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/San-Marino-v-England-UEFA-EURO-2016-Qualifier.jpg)
WAYNE ROONEY AIFUNGIA ENGLAND GOLI LA 50