Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Wazazi leeni watoto katika maadili mema’

MSAIDIZI Mkuu wa mahabusu ya watoto iliyopo Upanga, Dar es Salaam, Magreth Minja, amewataka wazazi kuwalea watoto katika maadili mema ili kuepukana na vitendo viovu. Amesema kwa sasa vitendo vya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wito watolewa wazazi kuwajengea maadili mema watoto

DSC01148

Diwani wa kata ya Issuna  wilaya ya Ikungi,Stephano Misai,akizungumza kwenye mahafali ya kwanza ya darasa la saba  shule ya msingi Unyahati iliyopo kijiji cha Muungano .Mgeni rasmi huyo amezitaka shule za msingi na sekondari zenye bahati ya kuwa karibu na huduma ya umeme, kuweka nishati hiyo kwa ajili ya wanafunzi kujifunza kompyuta. Wa kwanza kushoto (aliyekaa) ni Chiku Alli raia wa Norway aliyekusanya fedha kutoka kwa raia wa Norway na kugharamia ujenzi wa shule ya Unyahati. Kulia ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Waleeni watoto katika maadili mema’

ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Titus Mdoe, amewataka waumini wa kanisa hilo kuwalea watoto katika maadili yanayompendeza Mungu ili waweze kupata viongozi bora watakaosimamia haki...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazazi wapoteza ushawishi wa maadili kwa watoto

HIVI sasa wazazi wengi hawana mwamko wa kuzungumza na watoto wao kuhusu maadili. Mamlaka hayo ya lazima kwao wameziachia televisheni na mitandao ya kijamii ambayo imekuwa mwalimu wa vijana kujifunza...

 

11 years ago

Mwananchi

Mjengee msingi wa maadili mema mwanao

Ulezi wa watoto ni jambo linalohitaji umakini mkubwa. Kimsingi akili ya mtoto ni kama karatasi nyeupe isiyo na maandishi. Hivyo kwake ni rahisi kunasa vitu vingi kwa wakati mmoja. Jambo hili linatakiwa kueleweka vizuri kwa wazazi na walezi wengi.

 

11 years ago

Michuzi

Mama Kikwete awataka wazazi na walezi kuwekeza katika elimu ya watoto wao

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi.
Wazazi na walezi wilayani Lindi mjini  wametakiwa kuwekeza katika elimu ya  watoto wao kwa kuhakikisha wanakwenda shule kwa wakati kwani  elimu ni ukombozi wa maisha na kuolewa katika umri mdogo kwa watoto hao hakutawasaidia kimaisha.
Mwito huo umetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea  kwa nyakati tofauti  na viongozi wa Halmashauri kuu ya tawi ya Chama...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AMTUNUKU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, MBARAK ABDULWAKIL NISHANI YA UTUMISHI MREFU NA MAADILI MEMA DARAJA LA (I)

Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani iliyofanyika kwenye Ukumbi mpya wa Mikutano Ikulu, jijini Dar es Salaam. Picha zote na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimpongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, baada ya kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI UMMY AWASIHI WAZAZI KUWASIMAMIA WATOTO KATIKA MATUMIZI YA VIFAA VYA KIELETRONIKI



Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dodoma kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika (kushoto) ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Mtoto, Sebastian Kitiku.Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Maendeleo ya Mtoto Sebastian Kitiku akifafanua jambo kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKUU WA IDARA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPA ZAWADI KATIBU MKUU WAO BAADA YA KUTUNIKIWA NISHANI YA UTUMISHI MREFU NA MAADILI MEMA DARAJA LA (I)

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Ngao ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema, Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kwa niaba ya Wakuu wa Idara na Vitengo wizarani humo. Zawadi hiyo ya kushtukiza iliandaliwa na viongozi hao wa Idara baada ya hivi karibuni Rais Jakaya Kikwete kumvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Katibu Mkuu wao katika tukio lililofanyika Ikulu, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani