Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri- Magereza zingatieni haki za wafungwa

LICHA ya magereza nchini kufurika wafungwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe amelitaka jeshi la Magereza nchini kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia maadili na haki za binadamu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA, DKT. MWAKYEMBE WATEMBELEA MAGEREZA MAKUU JIJINI DAR ES SALAAM, WAAHIDI KUBORESHA HUDUMA KWA WAFUNGWA NA MAHABUSU

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (kushoto) akisalimiana na Kamshina Jenerali wa Jeshi la Magereza,. John Minja wakati alipokuwa anawasili Gereza la Mahabusu Keko kwa ziara ya kikazi. Mwenye mawani ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo.Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga  akikagua gadi maalumu iliyoandaliwa na Maafisa na Askari wa Gereza Keko alipofanya ziara ya kikazi ya kutembelea Magereza...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI AZINDUA "MAGEREZA DUTY FREE SHOP" PAMOJA NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MABAKULI YA WAFUNGWA GEREZA UKONGA, JIJINI DAR

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha kutengeneza Bakuli na Vikombe vitakavyokuwa vinatumika na Wafungwa Magerezani kulia chakula(wa kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(kushoto) akiwaonesha Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Mkoa wa Dar es Salaam jiwe la msingi la Jengo la Magereza Duty Free Shop iliyopo Gereza...

 

10 years ago

Habarileo

'Wazazi zingatieni haki za mtoto'

WAZAZI na walezi wa watoto wamehimizwa kuzingatia haki za mtoto katika malezi yao kuanzia ngazi ya familia kwa kuwapa stahili zote muhimu zinazotajwa katika Katiba, sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeiridhia.

 

11 years ago

Mwananchi

Magereza yazingatie afya za wafungwa

Hebu tafakari! Umefanya kosa, unahukumiwa ukiwa na afya tele lakini hata baada ya kifungo chako kumalizika, unatoka ukiwa na maradhi lukuki. Unabahatika kukaa uraiani kwa kipindi kifupi tu, kabla ya uhai wako kutwaliwa na maradhi hayo.

 

11 years ago

Michuzi

ASKARI MAGEREZA WAONESHA WANAVYOPAMBANA NA WAFUNGWA WAKOROFI

 'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi  Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu  Askari anapangua teke....  Kisha anakata zote bee....  Mfungwa hoi... Anadakwa kilaaiiini.... Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Magereza lajipanga kujitosheleza chakula cha wafungwa

image

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Jeshi la Magereza nchini limejipanga kuanza kujisimamia lenyewe kwa kuwahudumia wafungwa chakula bila ya kuitegemea serikali kutokana na kuwepo na upungufu wa chakula cha kuwahudumia wafungwa hao.

Akizungumzia mpango huo wakati wa kikao cha kujadili rasimu ya mpango wa Jeshi hilo kujitosheleza kwa chakula, Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja amesema wameanzisha mpango huo ili kuipunguzia mzigo serikali kutokana na...

 

10 years ago

Habarileo

Magereza kuanza kutoa vyeti kwa wafungwa wataalamu

JESHI la Magereza nchini liko mbioni kuanza kutoa vyeti vya ufundi stadi kwa wafungwa wanaomaliza muda wao wa kutumikia vifungo magerezani.

 

10 years ago

Habarileo

Wafungwa wadaiwa kunyimwa haki

WAFUNGWA wengi hawapewi haki zao za msingi miongoni mwake, ikiwa ni kukaa muda mrefu magerezani na mahabusu bila kuonana na ndugu zao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Somalia inakiuka haki za wafungwa - HRW

Human Rights Watch imeishutumu Somalia kwa kuwanyima wafungwa haki za uakilishi na kuwashitaki raia chini ya mahakama za kijeshi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani