Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri asema deni la taifa la trilioni 27/- ni himilivu

SERIKALI imezungumzia deni la taifa la Sh trilioni 27.04 na kusema kuwa ni himilivu kwa sababu halijavuka wala kufikia kiwango cha ukomo cha kukopa kwa madeni yote; la ndani na la nje. Aidha, imesema matumizi ya mashine za kielektroniki (EFD) kwa ajili ya kuweka kumbukumbu sahihi za hesabu za wafanyabiashara nchini, yameiwezesha Serikali kukusanya Sh bilioni 800 kwa mwezi, tangu kuanzishwa kwa matumizi hayo mwaka 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Deni la Taifa sasa ni janga la Taifa

Bunge liliambiwa juzi kwamba Deni la Taifa limeongezeka kwa Sh8.2 trilioni kwa kipindi cha miezi saba tu.

 

10 years ago

Habarileo

Pato la Taifa lafikia trilioni 21

OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetangaza pato la taifa ambalo linaonesha kuwa thamani ya pato hilo katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu imefikia Sh trilioni 21.2.

 

10 years ago

Habarileo

Mpango Maendeleo ya Taifa watengewa trilioni 5.8/-

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira amewasilisha bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa 2015/2016, huku Serikali ikipanga kutumia Sh trilioni 5.8 kwa utekelezaji wa mpango huo.

 

10 years ago

Michuzi

PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Morrice Oyuke (Kulia)akitoa taarifa ya Pato la Taifa kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2014 leo jiji Dar es salaam. Pato hilo kwa mwaka 2014 limefikia kiasi shilingi trilioni 21.2 kutoka trilioni 19.8 za mwaka 2013, Kushoto ni Mtakwimu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Gregory Milinga, Picha na Aron Msigwa-MAELEZO.
Aron Msigwa –MAELEZO.
Pato la Taifa (GDP)  katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014 limeongezeka hadi kufikia...

 

10 years ago

GPL

PATO LA TAIFA LAONGEZEKA, LAFIKIA SHILINGI TRILIONI 21.2.‏

Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Morrice Oyuke (Kulia)akitoa taarifa ya Pato la Taifa kwa kipindi cha robo tatu ya mwaka 2014 leo jiji Dar es salaam. Pato hilo kwa mwaka 2014 limefikia kiasi shilingi trilioni 21.2  kutoka trilioni 19.8 za mwaka 2013, Kushoto ni  Mtakwimu Mkuu wa Ofisi hiyo Bw. Gregory Milinga, Pato la Taifa (GDP)  katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka 2014...

 

11 years ago

Mwananchi

Lipumba ahofia deni la taifa

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuna uwezekano mkubwa wa Rais Jakaya Kikwete baada ya kustaafu kuacha nchi kwenye matatizo makubwa ya uchumi.

 

11 years ago

Mwananchi

Nini hatima ya deni la Taifa?

Taarifa iliyotolewa hivi karibuni inayoonyesha kuwa deni la Taifa linakua kwa wastani wa Sh2 trilioni kila mwaka, imepokewa tofauti, huku wengi wakilalamikia hali hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Deni la taifa lazidi kupaa

Mtandao wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD), umebaini ongezeko la madeni ya ndani, ambayo sasa yamefikia Sh6.8 trilioni na kusababisha athari kubwa kwa jamii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mdee alia na deni la taifa

MWENYEKITI wa Baraza la Wanawake CHADEMA, (BAWACHA), Halima Mdee, amesema kuwa katika kipindi cha miaka tisa ya utawala wa Rais Jakaya Kikwete, deni la Taifa limeongozeka kutoka sh trilioni saba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani