WAZIRI MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851 ZA SERIKALI ZINAZOJENGWA MABWEPANDE JIJINI DAR
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli leo amefanya ukaguzi wa ujenzi wa nyumba za Serikali zipatazo 851 zilizopo katika eneo la Mabwepande, Kinondoni,jijini Dar es Salaam zinazosimamiwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA). Huu ni muendelezo na mikakati ya Wizara ya Ujenzi ya kuwajengea na kuwauzia watumishi wa Serikali nyumba kwa bei nafuu. Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka Bw. Mwakalinga ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania. Waziri wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLDK. MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA NYUMBA 851
11 years ago
MichuziWAZIRI MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA NYUMBA ZINAZOJENGWA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA ENEO LA BUNJU B JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
MichuziWAZIRI WA UJENZI AKAGUA MIRADI YA NYUMBA ZA TBA KWA AJILI YA WATUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM
5 years ago
MichuziSHILATU AKAGUA UJENZI NYUMBA YA MWALIMU,WANANCHI WAMSHUKURU RAIS MAGUFULI
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amekagua ujenzi nyumba ya Mwalimu huku Wakazi wa Kijiji cha Mpunda kilichopo kata ya Michenjele wakimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwajengea nyumba ya kuishi Mwalimu katika shule ya msingi Mpunda.
"Tunamshuru Rais Magufuli kutuletea fedha za kujenga nyumba hii ya Mwalimu. Haijawahi kutokea tangu tupate Uhuru maendeleo haya ya kasi tunayoyaona. Pia tunamshukuru Afisa Tarafa Mihambwe kututembelea mara kwa...
10 years ago
Vijimambo27 Jan
WAZIRI DKT. MAGUFULI AZINDUA UJENZI WA BARABARA ZA PETE JIJINI DAR ES SALAAM.
Barabara hizo zilizowekewa mawe ya msingi ni pamoja na ile ya Kinyerezi –Kifuru hadi Mbezi Mwisho yenye urefu wa kilometa 14.0, Kigogo-Tabata Dampo yenye urefu wa kilometa 1.6, na Kimara Baruti-Msewe hadi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yenye urefu wa kilometa 2.6.
Barabara nyingine ni ile ya External –Kilungure hadi...
9 years ago
MichuziWAZIRI WA MAMBO YA NJE AKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA YA UMOJA WA MATAIFA JIJINI ARUSHA
Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa akipata maelekezo ya ziada kuhusu ujenzi wa Mahakama ya Umoja wa Mataifa kwenye eneo la Lakilaki Jijini Arusha. Aneyetoa maelezo ni Afisa Mambo ya Nje na Mwansheria Bw. Elisha Suku. Kushoto kwa Waziri Mahiga ni Nd. Hamdouny Mansour, Katibu Tawala Msaidizi upande wa miundombinu. Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa na...
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Waziri Lukuvi azindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC wilayani Masasi
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akisalimia viongozi wa NHC mara baada ya kuwasili eneo la Napupa Masasi kuzindua nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC. Anayemuongoza Mh. Waziri ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Felix Maagi.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na hadhira iliyofurika katika sherehe za uzinduzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC Wilayani Masasi.Alizitaka taasisi zinazotoa huduma ya...
5 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA UCHAGUZI (NEC), LILILOPO NDEJENGWA, JIJINI DODOMA.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwasili kwenye Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa, jijini Dodoma, wakati alipoenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo hilo, linalojengwa na Kikosi cha SUMA JKT, May 5, 2020. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, wakati alipokagua ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC), lililopo...
10 years ago
Michuzi21 Jun
WAZIRI WA ARDHI WILLIAM LUKUVI AZINDUA NYUMBA ZA GHARAMA NAFUU ZINAZOJENGWA NA NHC WILAYANI MASASI