WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI NGAZI YA TAIFA NA KAMATI YA UTENDAJI CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog24 Jun
WAZIRI MHAGAMA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI MKOANI MANYARA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi kuhusu masuala mbalimbali ya wafanyakazi walipokutana katika ukumbi wa Hazina ndogo, Mkoani Manyara.Sehemu ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipokutana nao na...
10 years ago
MichuziCHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) KUFANYA UCHAGUZI MKUU KITAIFA MAY 28, 2015 JIJINI ARUSHA
Na Woinde Shizza,
ArushaChama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kufanya...
10 years ago
VijimamboCHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT) KUFANYA UCHAGUZI MKUU KITAIFA MAY 28, 2015 JIJINI ARUSHA
Na Woinde Shizza, Arusha
Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kinatarajia kufanya...
5 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU UCHAGUZI WA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA CWT KATIKA UWANJA WA JAMHURI MJINI DODOMA
5 years ago
MichuziCWT SINGIDA VIJIJINI: BAADHI YA MAKATIBU WA CHAMA CHA WALIMU NI MZIGO
Mwenyekiti Mpya wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Singida Vijijini, Joselen Kato Samwel, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi.
Msimamizi wa uchaguzi huo, Katibu wa CWT, Manispaa ya Singida, Jones Madale (katikati), akitangaza washindi.
Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT ) Wilaya ya Singida Vijijini, Kitengo (KE), Jaha Mwemkala, akizungumza na wajumbe wa mkutano mkuu wa chama hicho baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo.
Baadhi...
9 years ago
Dewji Blog11 Nov
Chama cha Walimu (CWT), Mkoa wa Dar es Salaam kinaidai Serikali Tsh.Bilioni 1.1
10 years ago
MichuziJK akutana Na viongozi Wa Chama Cha Albino Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam leo
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ALBINO TANZANIA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO