Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MHAGAMA AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI MKOANI MANYARA


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi kuhusu masuala mbalimbali ya wafanyakazi walipokutana katika ukumbi wa Hazina ndogo, Mkoani Manyara.Sehemu ya Viongozi wa Vyama vya Wafanyakazi wa Mkoa wa Manyara wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipokutana nao na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

SSRA YATOA ELIMU KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI (TUCTA) MKOANI DODOMA

Mkurugenzi wa Utafiti, Tathmini na Sera wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ansgar Mushi.
Na Mwandishi wetu, DodomaWANACHAMA wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii wametakiwa kufuatilia makato yao kwa kuwa baadhi ya waajiri wanachelewa kupeleka makato yao. 
Mbali na hilo, waajiri wa metakiwa kutowalazimisha wafanyakazi wao, kujiunga na mfuko wasio upenda badala yake wapewe nafasi ya kujieleza. 
Kauli hiyo, ilitolewa jana na Ofisa Tehama wa Mamlaka ya Usimamizi na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MHAGAMA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI NGAZI YA TAIFA NA KAMATI YA UTENDAJI CHAMA CHA WALIMU TANZANIA (CWT)


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na Viongozi wa ngazi ya taifa na Kamati ya utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) alipokutana nao kwa lengo la kuwapongeza viongozi hao. Kulia ni Rais wa Chama Walimu Tanzania (CWT) Bi. Leah Ulaya.Sehemu ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) wakifuatilia kwa makini maelezo ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA

 Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ( TUCTA )Nicholaus Mgaya akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipowasili kwenye Makao Makuu ya TUCTA kwa mazungumzo na Viongozi wa vyama vya wafanyakazi.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Wanawake,Jinsia na Watoto (TUCTA) Siham Ahmed kabla ya kuanza kwa mazungumzo baina ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Viongozi wa Vyama vya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATOA NENO KWA VIONGOZI VYA VYAMA VYA SIASA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu ni vema viongozi wa vyama vya siasa nchini wakaonesha mfano wa kuendesha siasa za kistaarabu zenye lengo la kuwaunganisha watanzania na siyo kuwatenganisha.

“Hivyo basi, tudumishe utulivu, amani, mshikamano pamoja na ustaarabu wetu wa Kitanzania katika kipindi chote cha kampeni na Uchaguzi Mkuu ili kulifanya Taifa letu kuendelea kuwa kisiwa cha amani na mfano wa kuigwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.”

Waziri Mkuu...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI AMUAPISHA KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA. CHATO MKOANI GEITA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Prof. Mabula Daudi Mchembe kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Hafla iliyofanyika Wilayani Chato Mkoani Geita , Aprili 22, 2020.Prof. Mabula Daudi Mchembe akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Hafla iliyofanyika Wilayani...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA CCM NA WAFANYAKAZI WA KIWANDA CHA MGOLOLO (W) MUFINDI, IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Viongozi wa CCM Wilaya na Mufindi wlioongazana na baadhi ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei7, 2014. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa CCM Wilaya ya Mufindi na baadhi ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo, waliofika Ofosini kwake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani