Waziri Mkuu aagana na Balozi wa Brazil
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Brazil nchini, Fransisco Carlos Soares Luz ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 29, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Brazil nchini, Fransisco Carlos Soares Luz ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Aprili 29, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekutana na Balozi wa Brazili nchini...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi29 Apr
WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI WA BRAZILI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
WAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI WA BRAZILI
WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amekutana na Balozi wa Brazili nchini Tanzania, Bw. Fransisco Luz na kujadiliana mambo kadhaa kuhusu maendeleo na mahusiano baina ya nchi hizo mbili.
Akizungumza na Balozi Luz ofisini Magogoni jijini Dar es Salaam leo mchana (Jumatano, Aprili 29, 2015), Waziri Mkuu alimshukuru Balozi huyo kwa ushirikiano ambao ameutoa kwa Serikali ya Tanzania katika kipindi cha miaka sita ambacho amekuwa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AAGANA NA BALOZI MPANGO WA DRC
11 years ago
Dewji Blog17 May
Waziri Mkuu Pinda aagana na Balozi mteule wa Tanzania, nchini Sweden Dora Msechu
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu kabla ya mazungumzo yao,ofisini kiwa Waziri Mkuu mjini Dodoma, May 16, 2014. Balozi huyo mteule alkwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Mkizengo Pinda akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Sweden, Dora Msechu, ofisini kwake mjini Dodoma May 16, 2014. Balozi huyo Mteule alikwenda kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
10 years ago
Michuzi13 Nov
WAZIRI MKUU AAGANA NA MWAKILISHI MKAZI WA UNIDO NCHINI
![](https://3.bp.blogspot.com/--0xRrGO4vig/VGTBXX3lTrI/AAAAAAAGw_s/bR7yei_Aq0A/s640/unnamed%2B(29).jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-Vhpd_PPsmIY/VGTBXpUDLzI/AAAAAAAGw_o/6Rp3zA-LaTU/s640/unnamed%2B(30).jpg)
10 years ago
VijimamboKATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NCHI ZA NJE BALOZI LIBERATA MULAMULA AAGANA RASMI NA WAFANYAKAZI WA UBALOZI WASHINGTON DC.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-PHyjBmKI9K4/Vd71wO6nT6I/AAAAAAAH0Y0/-emk9ILJyYU/s72-c/k1.jpg)
RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR
![](http://1.bp.blogspot.com/-PHyjBmKI9K4/Vd71wO6nT6I/AAAAAAAH0Y0/-emk9ILJyYU/s640/k1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-OCQYlFJSu8E/Vd71wE0paOI/AAAAAAAH0Y4/oAHzXozn2m4/s640/k2.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-bk87_00qIvE/Vd--4PTw3UI/AAAAAAAD4zs/SrOV2DAyWz8/s72-c/k1.jpg)
RAIS AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI, MABALOZI WA TANZANIA UHOLANZI NA ZIMBABWE NA KUONANA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA NMB IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-bk87_00qIvE/Vd--4PTw3UI/AAAAAAAD4zs/SrOV2DAyWz8/s640/k1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5yqHMsnJbjg/Vd--4-cwD2I/AAAAAAAD4zw/EOJyhUiPCkk/s640/k2.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-PJtNMZxq__w/UvXVoqdhP5I/AAAAAAAFLs0/A00maSGFGUw/s72-c/unnamed+(47).jpg)
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia aagana na balozi iddi seif zanzibar
![](http://2.bp.blogspot.com/-PJtNMZxq__w/UvXVoqdhP5I/AAAAAAAFLs0/A00maSGFGUw/s1600/unnamed+(47).jpg)