Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA MSUMBIJI LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Akutana na Balozi wa Msumbiji Nchini,Dkt. Vicente Mebunia

post-feature-imageWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa msumbiji nchini,Dkt. Vicente Mebunia ambaye alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2015 kuaga.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA MSUMBIJI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Baadaye Waziri Mkuu huyo alifanya mazungumzo na Kinana kuhusu masuala mbalimbali hususan ya kisiasa.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha kwa ajili ya mazungumzo, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Dk. Alberto Vaquina, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam,  Katibu Mkuu wa CCM,...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA BALOZI WA CHINA






Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 10, 2020.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Nchini, Wang Ke, Ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Aprili 10, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…………………………………………………………………………………..

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mheshimiwa Wang Ke na ameishukuru...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Pinda akutana na Balozi wa Poland

PG4A5670

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Balozi wa Poland nchini, Mhe. Marek Ziolkowskoi kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwake jijini Dar es salaam, Oktoba 13, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA BALOZI WA BURUNDI NA QATAR

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Burundi hapa Nchini  Bwana Issa Ntambuka ambaye alifika ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam kwa mazungumzo ya kikazi. Waziri mkuu Mizengo Pinda akimsikiliza kwa makini Balozi wa Burundi hapa nchini Bwana Issa Ntambuka ambaye alifaka ofisini kwa Waziri Mkuu leo Jijini Dar es salaam kwamazungumzo ya kikazi. Waziri Mkuu Mizengo Pinda akutana na Balozi wa Qatar hapa Nchini Bwana Abdullah Jassim Al Maadadi ambaye alifika ofisini...

 

10 years ago

Michuzi

BALOZI KAMALA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA SERIKALI YA WABELGIJI WANAOZUNGUMZA KIJERUMANI

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa Kamala akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch,wakati alipokutana nae leo ofisini kwake jijini Eupen Ubelgiji.
Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dk. Diodorus Buberwa akimkabidhi zawadi Waziri Mkuu wa Serikali ya Wabelgiji Wanaozungumza Kijerumani,Mhe. Oliver Paasch baada ya kumaliza mazungumzo naye ofisini kwake Eupen Ubelgiji.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA BALOZI WA FALME ZA KIARABU NCHINI LEO

Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa (kushoto) akisalimiana na Balozi wa Falme za Kiarabu,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi wakati alipomtembelea ofisini kwake leo. Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania,Mh. Abdallah Ibrahim Al Suwaidi akiwa aktika mazungumzo na Waziri wa elimu na Mafunzo ya Ufundi,Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa,ambapo walizungumzia masuala ya ushirikiano baina ya Tanzania na Nchi ya Falme za Kiarabu katika sekta ya Elimu hasa kwa watoto.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AKUTANA NA BALOZI MDOGO WA MSUMBIJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes alipofika Kujitambulisha leo Ikulu Mjini Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi Mdogo wa Msumbiji aliyepo Zanzibar Jorge Augusto Menezes baada ya mazungumzo yao leo alipofika Kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ikulu Zanzibar.]

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA RAIS WA AFRICARE LEO

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimlaki Rais wa Taasisi ya Africare, Dkt Darius Mans, alipokutana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Mei 27, 2014. Kushoto Mama Sekai P. Chikowero, Mkurugenzi Mwandamizi wa nchi za Tanzania, Rwanda na Uganda wa Africare ambayo ni taasisi kubwa ya maendelo kwa Afrika inayoendeshwa na Wamarekani wenye asili ya watu weusi. Bw. Mans yuko nchini kwa ziara ya kikazi ya siku nne. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa katika mazungumzo na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani